Kweli mkuuNjaa ikishakuwa kali msoto wa kitaa
Ukitembea barabarani unaanza kutamani mafundi sofa,fundi simu, computer, wachonga vioo
Yaani bora elimu ya ufundi inaweza kukomboa mtu kwenye shida
Lakini sio yale sijui ma integration na differentiation hayasaidii kwenye njaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss... napata sana shida mtu akisema mtaji mdogo... ebu niweke sawa, mtaji mdogo ni kuanzia sh ngapi hadi ngapi!??Hizi hapa listi ya biashara zenye mtaji mdogo:
1) Kuuza matunda.
2) Kuuza juice mashuleni haswa kwa shule za msingi na sekondari.
Hapa ukifanikiwa kupata jokofu imara basi umeshamaliza kila kitu.
Biashara ya kuuza juisi mashuleni inalipa sana, huwezi kukosa elfu 7-15 kwa siku.
3) Chapisha vitini vya tenses, methali, vitendawili, nahau na misemo mbalimbali, pia unaweza ukachapisha vitini vyenye formulas za hesabu, peleka shule za msingi.
4) Uza vitu vidogo vidogo mfano Cripsi za ndizi, mihogo, viazi nk, weka karanga za mayai, chapati za maji/mayai, uza vikachori, kababu nk.
5) Shoe shine
6) Uza vifaa vya electronics vidogo vidogo, hapa unatembeza mtaani.
7) Tafuta angalau laki 3 - 5 nenda VETA ukasomee taaluma yoyote ya ufundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaji usiozidi laki tano.Boss... napata sana shida mtu akisema mtaji mdogo... ebu niweke sawa, mtaji mdogo ni kuanzia sh ngapi hadi ngapi!??
Mi naona ni bora pia kuweka na suggestions za pesa ya kuanzia.
Maana mtaji mdogo kwako, kwangu ni mkubwa mnoo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo namba 7 ndio muhumu sana kwasie vijana kujiendeleza kiufundi,Wenzetu wachina wameamua vyuo vyao vingi kuvigeuza vyuo vya ufundi ili vijana wengi waweze kujiajiri wenyewe,hebu fikiria mtu anaenda chuo kikuu anasomea sijui sociologia,iyo kozi kiukweli kabisa awezi kujiajiri matokeo yake anasubiria ajira za kuajiriwa,ni heri mtu ukaenda veta ukasomea ushonaji ukawa designer wa nguo,ufundi magari ama udereva izo kozi na nyingine nyingi mtu atajiajiri mwenyewe tuHizi hapa listi ya biashara zenye mtaji mdogo: