utakuja mwenyewe?
shemeji si umesema wewe huwaogopi?
Yule nilisha muweka kaupuni, siku hizi ni mali ya mamaafacebook
mwanaume kuchepuka at least haijakaa vibaya..
coz yeye anatoa. he remains with nothing after mchepuko action...
sasa wewe ukichepuka lazma kuna kitu kinabakia.
this is terrible..
oh! sasa akija na mamaafacebook unadhani wewe utakuwa salama?
mbona hii inajulikana na Ntuzu
ha ha ha..basi wewe kampan yako utaikuta huku, napenda uwe katika mikono salama..