Lissu: Tuna taarifa za njama zinazopangwa na maadui wa Chama kushambulia mikutano yetu ya hadhara Shinyanga kwa mabomu ya kurusha na mkono

Hawa Jamaa wanapenda sana attentions nyepesi nyepesi

wakiwa na Watawala wanacheka cheka hawaoneshi haya makali wanayoonesha wakiwa na wana vijiji huko Mikoan...
Shida yao huwa ni mwaliko wa chai na sambusa tu, wakipata hiyo wanatulia
 
inanihusu si ndio sababu mimi na wewe tunajadili mambo hili ? au jambo kukuhusu kwako linatakiwa kuwa vipi? au unafikiri ruzuku za vyama vya Siasa ni kodi za Wanachama wao pekee ? pigania akili kabla ya Katiba mpya
EeeenHeeeee!

Hapana.
Hilo la "Hawa jamaa wanapenda sana attensions nyepesi nyepesi" halinihusu mimi, hilo ni lako mwenyewe mwenye akili za namna hiyo.

Acha likuhusu, ila wao wamechagua njia hiyo kufikia malengo waliyojiwekea.
Hayo ndiyo yatakayokuhusu wewe moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom