Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo

Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo

Kwani hata chadema mnahitaji barabara? Mtakula hizo barabara?

Kwani hata chadema wanaona barabara ni maendeleo? Hayo si maendeleo ya vitu hayo?
Nyumbu wa Lumumba tumieni akili, babu yenu hajui vipaumbele vya nchi ndo maana anafuja kodi za wanyonge, kulikuwa na ulazima gani wa kujenga airport chato ambako ndege inatua Mara moja kwa mwezi, badala ya hii barabara inayounganisha nchi za Rwanda na DRC ambazo ni potential in economic sector?
 
bora huyu ambae amejitahidi kwa nafasi yake, kuna wengine hata kumtoa mwenyekiti wameshindwa zoezi rahisi lisilohitaji kodi za wananchi
 
Nyumbu wa Lumumba tumieni akili, babu yenu hajui vipaumbele vya nchi ndo maana anafuja kodi za wanyonge, kulikuwa na ulazima gani wa kujenga airport chato ambako ndege inatua Mara moja kwa mwezi, badala ya hii barabara inayounganisha nchi za Rwanda na DRC ambazo ni potential in economic sector?
Lisu mgombea wenu hataki barabara ila anataka muwe na hela mfukoni!

Sasa hapa unalialia nini?

Je, nanyi chadema mnataka barabara? Kwani mtakula hizo barabara

Nyumbu we
 
TL anaamini katika maendeleo ya watu sio vitu. Hapa umenoa ndugu mjumbe wa JF.

Mwambie kama kunawatu hawavai barakao na Kama Kuna shoga huko atakuja.
 
Mtia nia kipenzi cha wengi yapo mengi yanayoashiria wazi kuwa "ni wewe 2020" kama hapatakuwa na zengwe.

Kuna wale wanaoijitanabaisha kuwa wamefanya mengi hasa kwenye miundo mbinu hali ni janja janja tu za kutafutia kura mijini.

Katika picha ni hali halisi ya barabara kuelekea rusumo kutokea rusahunga kama ambavyo iko kwa miaka mingi sasa. Inafahamika wazi kuwa bila ya ufanisi wa barabara kama hii bandari ya Dar ni kama mfu. Yaani marehemu kaburini.

Kodi lukuki serikali inachukua kupitia barabara hii na hata ingeweza kupata mapato zaidi, achilia mbali maafa wanayo wasababishia watumia barabara hii.

Waathirika wa barabara hii wakiwamo wakazi wa maeneo hayo, wenye magari, wasafiri na hasa wote wenye uelewa wa kuwapo kwa bandari Dar na umuhimu wake kiuchumi si kundi la kubeza.

Ziara ya mapema huko itakupa picha zaidi ya janja janja zao za kisiasa ndumila kuwili hawa.

Ikumbukwe hali imekuwa hivi hivi bila kushughulikiwa tangia miaka ya 2014 na hata kabla sana ya hapo.

View attachment 1530769

View attachment 1530770

View attachment 1530773
View attachment 1530774
View attachment 1530774View attachment 1530777

View attachment 1530785

Haya yakiendelea huko, makwetu kulikotukuka kwenye hata international airports pako hivi:

Chato kupo hivi. Je, hii ngozi haivutwi mno?

Wanasema Tanzania itakuwa kama ulaya. Lini kama hata kabla ya 2014 hauonekani umuhimu wa kuitumia bandari ya Dar kikamilifu kwa maslahi ya nchi? Labda ni kama kwa ule mwujiza uliomsabaratisha Corona virus.

Hali ya mbaya mno ya barabara Nyakanazi Rusumo vipaumbele vyetu ni nini?

Madhila ya Barabara Rusahunga -Rusumo

Ukiwahi huko baadhi ya magari ya yaliyoanguka utayakuta kama yalivyo katika picha.

Hivi ni baadhi tu ya vishindo vya awamu ya tano.
Ongeza sauti
 
Lisu mgombea wenu hataki barabara ila anataka muwe na hela mfukoni!

Sasa hapa unalialia nini?

Je, nanyi chadema mnataka barabara? Kwani mtakula hizo barabara

Nyumbu we
Tatizo lenu misukule ya Lumumba, polepole pumbu anazowalisha hazichanganyi vizuri, lissu ataongoza nchi kwa kutumia miongozo ya kitaalam ya kiuchumi, na miongozo hiyo ktk LDC's inaelekeza kipaumbele ni kukuza kipato cha watu, na kipato cha watu kinakuzwa kwa kuweka kipaumbele ktk sector za uzalishaji wa moja kwa moja ambazo sekta hizo ni kilimo na viwanda na ndo anachopigia kelele lissu. So kuweka kipaumbele ktk kukuza kipato cha watu haimanishi hatajenga miundombinu lazima na penyewe ataweka mkazo, umeelewa sasa wewe msukule?
 
Wangese mpo wengi sana we m.a.k.u hukumsikia juzi kichaa wenu anabeza swala la miundombinu hapa!!? leo unakenuakenua humu sijui unatafuta mume!! machadema hamjui mnachohitaji nchi hii na mlemavu wenu
We naye Humphrey hajokuchomekea vizuri dole hebu njoo nikusokomezee vizuri. Lissu ukimsikiliza huku umekunywa wanzuki huwezi kumuelewa kabisa, tuliza akili kwanza bwana mdogo!
 
Hiyo njia haina wapiga kura wengi watumiaji wakubwa wa hiyo njia Ni madereva wa malori wa kutoka nje ya Nchi na maeneo ya Dar es salaam Sio wapiga kura wa huko
Hebu tuwekee barabara nzuri inayotumiwa na wenyeji wa kule ukiaacha hii inayotumiwa na wageni tuu. Kumbe Rusumo kuna barabara ya wageni na wenyeji?! Sikujua.
 
Lisu kwake barabara siyo maendeleo so msahau
Barabara anazojenga magu za lami ni kiwango cha chini sana, Lissu ameishi Ubelgiji miaka mitatu anajua maana ya barabara na atajenga zenye kiwango cha hali ya juu zaidi.
 
Back
Top Bottom