Ccm dawa yao imeisha iva , bado kuinywa tu, wamezoea kila siku biashara kama kawa , sasa wasubiri this time , hawataamini macho yaoNani asiyezijua ghiliba na faulo za CCM? Hii ikiwa tokea kwenye kucheza visivyo na taasisi za umma? Kununua wapinzani na ikibidi hata kukimbia na masanduku ya kura mchana mchana?
Wananchi kote nchini wamechoshwa na uhuni wao huu. Kinachokosekana ni mbadala wa waliodhamiria kufanya kweli kwa vitendo. Siyo kwa maneno!
"Kwamba kote mnakokwenda kuna nyomi la kufa mtu? Kwamba hivyo ni kote hadi usukumani Chatto na hata Kizimkazi, Makunduchi huko?
"Kwani hiyo bado ni habari tena? Tulipo sasa ni kuwa, nyomi ipo; sawa! Halafu?"
CHADEMA Nyomi si Habari Tena, Tujidhatiti kumaliza Mchecho
Pamoja na nyomi lote, mwizi mbobezi wa kura mbona anamaliza mchezo asubuhi na mapema tu? Kwani Ali Bongo au Munangagwa ilikuwaje? Au hata 2015 na pia 2019/20 nako je?
"Ilihitajika katiba mpya yenye mazingira sawa na ya haki kwa wote. Kuna hatari kuwa katiba mpya haitakuwapo kwenye uchaguzi mkuu huu unaokuja."
Kwani ilikuwa ni lazima ufanyike 2024/25?
Inafahamika kuwa ni kwa maslahi ya CCM, katiba mpya isiwepo. Hii angalau iwe hivyo hadi chaguzi za 2029/30.
Cha kujiuliza, "Kwa hiyo?"
"Hata kama kutakuwa na tume huru, bila Mahakama huru, bado ngoma iko pale pale." Kumbe kimbilio letu wakifanya tale mambo yao litakuwa wapi?
Kususia uchaguzi hakuwezi kuwa dili. Alisusa Seif na bado watu wakala kwavraha zao. Labda kama ni kuusimamisha kabisa, wote usiwepo, kama tunaweza.
"Kama kuusimamisha hatuwezi ni muhimu kujipanga kuona tunashinda uchaguzi huu ndani ya rafu zao zote zilizopo. Hii ikiwa zote tunazozijua au hata tunazoweza kuzibashiri.
Kujipanga kwa ushindi ndani ya rafu zao inawezekana. Hata hivyo huko hakuwezi kufanikishwa tokea majukwaani. Sana sana labda kutokea kwenye drawing boards, chini ya wapanga mikakati wabobezi wenye kueleweka.
Kitengo cha habari na propaganda hakiwezi kuwa hiki kilichopo. Kilichopo hakijui habari ni nguvu wala hata hakiijui nguvu ya habari. Hiki hakijui hata namna ya kuzi shape siasa za nchi kuelekea tunakotaka sisi pasipokuwa na kutumia nguvu au kutumia nguvu kubwa mno.
Hiki kilichopo, kama kipo, hakifai. Akiita jiwe ni jipu!
"Hiki kilikuwa ni cha kuanza nacho."
Kama chama ni muhimu kuwa na namna thabiti ya kuwadhibiti wanachama wake. Wakiwamo hata wale uchwara wa mitandaoni. Ikibidi hata kwa kuwakana hadharani tu, inatosha sana.
Tutamtoa CCM tukishirikiana na wengine bila kujali majina yao alimradi tunaokubaliana nao kwa wakati husika. Tukawapate wapi malaika, ya Rabi vidampa sisi?!
Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini
Hatutamtoa CCM tukitumia Malaika. Kwenye hilo tunapaswa kuwa wakali kweli kweli, ikibidi hata tukiwa na bakora mikononi.
Chama chenye malengo ya kuchukua nchi hakiwezi kuendekeza upuuzi au hata wapuuzi wachache wenye kujinasibu nacho.
Chama chenye kulenga kuchukua nchi katika hali yetu kinapaswa kudhamiria na kuonekana hivyo ikiwamo hata kwa mwonekano wa usoni tu.
Wawekwe pembeni wote walioko chamani kifursa.
Iwe kazi tu!
Jiwe yeye akisema; "Hapa Kazi tu." Kwa hakika alimaanisha. Haipo namna nyingine.
CDM hawaendi na mikakati kisasa kwa vile hawashambulii kiini cha kushindwa kwao uchaguzi,mbinu na mikakati ibadilike ikiwa ni pamoja na wao kuwa karibu na vyombo vya dola badala ya kutumia mbinu za kupambana navyo,matusi,kuvidharau, kashfa nk. aidha wapenye ndani ya mfumo wa ccm,wapo ambao ni hostile humo ndani wawatumie kuungwa mkono na kupewa siri za mafanikio, wakurugenzi wa halmashauri wawasogelee(friendly) badala ya kutegemea majukwaa tu, na wananchi haitoshi, kiukweli ni vita mchanganyiko,kulingana na silaha zinazotumika na wenzenu,ni mchanganyiko wa mbinu nyingi mno kujihami km alivyo kinyonga, badala ya kulialia na kususa. kwa kufanya haya labda hapo wataweza. Kutegemea katiba pekee bila kucheza na mazingira wezeshi ya desturi,utamaduni na fitna za ki ccm, No kushinda.Afadhali kwa sasa mnapenya mpaka vijijini na kwenye taasisi za kidini, wanahabari, NGO. Mjikita kwenye sera meleweke. It will take a century bila kupiga mashambulizi covert& overt kwa kila upande in a short and long term bila aibu .hata hivyo Poleni na kupuyanga!
Unaweza ukafafanua kwa kina please?Hata kama kutakuwa na tume huru, bila Mahakama huru, bado ngoma iko pale pale.
Unaweza ukafafanua kwa kina please?
icho anachokifanya Lisu ndicho kinachohitajika kufanyika kwa sasaivi, akija kuanza ubaoni atakuwa anaeleweka na kila mtu. sasaivi anaenda uso kwa uso kwa wananchi wamuelewe uso kwa uso.
ameenda kupanda mbegu kwa watu uso kwa uso, wakati wa publicity ukifika ambao ni mwakani serikali za mtaa, itakuwa rahisi sana.Anachofanya Lissu kwa kitengo hiki cha habari na propaganda kama kipo kinapewa wapi publicity?
Au unadhani kazi hiyo itafanywa na TBC, Channel 10 au ITV mwaka 2026?
Kulikoni habari zao zinazopotoshwa hapa na pale au hata kupambana na negative publicity kutokea kwa mahasimu wao kama CCM na vibaraka wao?
Kuna wanachama wanaotanga astray Kwa kukosa miongozo. Imekuwa kama vifaranga wa kuku kila mmoja kuchakura kivyake.
"Bila kurudi kwenye drawing board kwanza kuweka mambo sawa, yanayoendelea ni kama kuvuja kwa pakacha.
Nyomi isiyo tafsirika kwenye uwanda wa maamuzi kwa sababu yoyote haisaidii.
Tujipange kwa ushindi ndani au nje ya wizi wao.
Ni wazi kuwa ma CCM na washirika wao hawawezi kuupenda ushauri huu.
Vipi ndugu, wewe ni mmoja wao?
Mbona unaongelea Kenya na sio Zambia?Uhuru Kenyatta, Raila Odinga na hata Rutto wanaijua vyema joto na far
Mbona unaongelea Kenya na sio Zambia?
ameenda kupanda mbegu kwa watu uso kwa uso, wakati wa publicity ukifika ambao ni mwakani serikali za mtaa, itakuwa rahisi sana.
Ushauri murua kabisa, wasipoufuata wasahauCDM hawaendi na mikakati kisasa kwa vile hawashambulii kiini cha kushindwa kwao uchaguzi,mbinu na mikakati ibadilike ikiwa ni pamoja na wao kuwa karibu na vyombo vya dola badala ya kutumia mbinu za kupambana navyo,matusi,kuvidharau, kashfa nk. aidha wapenye ndani ya mfumo wa ccm,wapo ambao ni hostile humo ndani wawatumie kuungwa mkono na kupewa siri za mafanikio, wakurugenzi wa halmashauri wawasogelee(friendly) badala ya kutegemea majukwaa tu, na wananchi haitoshi, kiukweli ni vita mchanganyiko,kulingana na silaha zinazotumika na wenzenu,ni mchanganyiko wa mbinu nyingi mno kujihami km alivyo kinyonga, badala ya kulialia na kususa. kwa kufanya haya labda hapo wataweza. Kutegemea katiba pekee bila kucheza na mazingira wezeshi ya desturi,utamaduni na fitna za ki ccm, No kushinda.Afadhali kwa sasa mnapenya mpaka vijijini na kwenye taasisi za kidini, wanahabari, NGO. Mjikita kwenye sera meleweke. It will take a century bila kupiga mashambulizi covert& overt kwa kila upande in a short and long term bila aibu .hata hivyo Poleni na kupuyanga!
Ccm dawa yao imeisha iva , bado kuinywa tu, wamezoea kila siku biashara kama kawa , sasa wasubiri this time , hawataamini macho yao
I am glad umeiweka hapaNani asiyezijua ghiliba na faulo za CCM? Hii ikiwa tokea kwenye kucheza visivyo na taasisi za umma? Kununua wapinzani na ikibidi hata kukimbia na masanduku ya kura mchana mchana?
Wananchi kote nchini wamechoshwa na uhuni wao huu. Kinachokosekana ni mbadala wa waliodhamiria kufanya kweli kwa vitendo. Siyo kwa maneno!
"Kwamba kote mnakokwenda kuna nyomi la kufa mtu? Kwamba hivyo ni kote hadi usukumani Chatto na hata Kizimkazi, Makunduchi huko?
"Kwani hiyo bado ni habari tena? Tulipo sasa ni kuwa, nyomi ipo; sawa! Halafu?"
CHADEMA Nyomi si Habari Tena, Tujidhatiti kumaliza Mchecho
Pamoja na nyomi lote, mwizi mbobezi wa kura mbona anamaliza mchezo asubuhi na mapema tu? Kwani Ali Bongo au Munangagwa ilikuwaje? Au hata 2015 na pia 2019/20 nako je?
"Ilihitajika katiba mpya yenye mazingira sawa na ya haki kwa wote. Kuna hatari kuwa katiba mpya haitakuwapo kwenye uchaguzi mkuu huu unaokuja."
Kwani ilikuwa ni lazima ufanyike 2024/25?
Inafahamika kuwa ni kwa maslahi ya CCM, katiba mpya isiwepo. Hii angalau iwe hivyo hadi chaguzi za 2029/30.
Cha kujiuliza, "Kwa hiyo?"
"Hata kama kutakuwa na tume huru, bila Mahakama huru, bado ngoma iko pale pale." Kumbe kimbilio letu wakifanya tale mambo yao litakuwa wapi?
Kususia uchaguzi hakuwezi kuwa dili. Alisusa Seif na bado watu wakala kwavraha zao. Labda kama ni kuusimamisha kabisa, wote usiwepo, kama tunaweza.
"Kama kuusimamisha hatuwezi ni muhimu kujipanga kuona tunashinda uchaguzi huu ndani ya rafu zao zote zilizopo. Hii ikiwa zote tunazozijua au hata tunazoweza kuzibashiri.
Kujipanga kwa ushindi ndani ya rafu zao inawezekana. Hata hivyo huko hakuwezi kufanikishwa tokea majukwaani. Sana sana labda kutokea kwenye drawing boards, chini ya wapanga mikakati wabobezi wenye kueleweka.
Kitengo cha habari na propaganda hakiwezi kuwa hiki kilichopo. Kilichopo hakijui habari ni nguvu wala hata hakiijui nguvu ya habari. Hiki hakijui hata namna ya kuzi shape siasa za nchi kuelekea tunakotaka sisi pasipokuwa na kutumia nguvu au kutumia nguvu kubwa mno.
Hiki kilichopo, kama kipo, hakifai. Akiita jiwe ni jipu!
"Hiki kilikuwa ni cha kuanza nacho."
Kama chama ni muhimu kuwa na namna thabiti ya kuwadhibiti wanachama wake. Wakiwamo hata wale uchwara wa mitandaoni. Ikibidi hata kwa kuwakana hadharani tu, inatosha sana.
Tutamtoa CCM tukishirikiana na wengine bila kujali majina yao alimradi tunaokubaliana nao kwa wakati husika. Tukawapate wapi malaika, ya Rabi vidampa sisi?!
Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini
Hatutamtoa CCM tukitumia Malaika. Kwenye hilo tunapaswa kuwa wakali kweli kweli, ikibidi hata tukiwa na bakora mikononi.
Chama chenye malengo ya kuchukua nchi hakiwezi kuendekeza upuuzi au hata wapuuzi wachache wenye kujinasibu nacho.
Chama chenye kulenga kuchukua nchi katika hali yetu kinapaswa kudhamiria na kuonekana hivyo ikiwamo hata kwa mwonekano wa usoni tu.
Wawekwe pembeni wote walioko chamani kifursa.
Iwe kazi tu!
Jiwe yeye akisema; "Hapa Kazi tu." Kwa hakika alimaanisha.
Haipo namna nyingine.
Naamini muelekeo wa siasa zetu utaenda kubadilika baada ya miezi miwili ijayo, kuna jambo wapinzani wataenda kujifunza, hapo ndipo watakapotambua siasa zetu zinatakiwa kuhama kutoka kwenye maneno na kuelekea kwenye vitendo zaidi ili kufikia malengo waliyojiwekea.
I am glad umeiweka hapa
Chadema ziara is enough wananchi wamesikia take a break mdeal na what is at stake.. Nchi imefika pabaya. Okoeni nchi ziara hazitaokoa tulipo..
Gazeti la Tanzania Daima liko wapi,liliwasaidia sana CDM kipropoganda na lilikuwa na wasomaji wengi.Isiwe dua la kuku. Nyomi huchizisha. Kuna hatari kuwa tushindwa kutambua matumizi ya nyomi.
Kumbuka hatukumwunga mkono Ndugai, Bashiru, Pole pole, Mwingira na wengi wengine.
Sasa hivi chawa wameelekeza madongo yao kwa kina Slaa.
Matamko rasmi au muhimu ya chama yanachelewa mno au hata kutokuwapo kabisa.
Kulihitajika chaguzi kwa nafasi zote chamani tokea chibi hadi juu. Wakapewa watu nafasi kwa umahiri na kupigwa chini bIla kuchelewa wasipokidhi mategemeo.
Siasa ni sayansi tunaweza kuwa tunakosa mtu wa callibre ya chikwette (cunning} kama mwana mikakati.
Chadema na chikwette mmoja ingechukua nchi mapema asubuhi.