Lissu: Polisi hawana sifa ya kuchunguza mauaji yao

Lissu: Polisi hawana sifa ya kuchunguza mauaji yao

Kwenye jambo kubwa Kama hili, tungesikia kauli ya kalipio Kali kwa jeshi la Polisi kutoka kwa mkuu wa kaya! Tegemea wao wenyewe watajichunguza na kutoa majibu! Ndivyo nchi zetu nyingi za kiafrika zilivyo.Truph ajakosea.
 
Haya yamesemwa na Lissu katika mahojiano na gazeti la TanzaniaDaima.

"Katika mazingira ya mauji ya Kinondoni, Jeshi la Polisi ndio mtuhumiwa namba moja. Watuhumiwa hawa watachunguzaje mauaji haya kwa uhuru, uwazi na weledi unaohitajika?

"Ili ukweli wote ujulikane,kunahitajika kuundwa kwa tume huru ya uchunguzi wa mauji hayo. Tume ya haki za binadamu ina mamlaka hayo Kikatiba na kisheria," alisema Lissu.

Mbunge huyo alisema,"uchunguzi wowote utakaofanywa na Polisi hautakuwa na Credibility yoyote. Ndio maana tayari Polisi na wakubwa wao wa kisiasa wana majibu kwa CHADEMA inahusika hata kabla ya kufanya uchunguzi wenyewe."

Chanzo: TanzaniaDaima(summary)
Ukweli mtupu ! Hivi uchunguzi wa shambulio la mauaji yaliyoshindikana ya Lissu umefikia wapi ?
 
Tatizo la uhai ukitoka huwa haurudi tena. Hata wakichunguza haitasaidia kurudisha uhai wa Akwilina na wengine waliouawa na polisi.
Ngoja kajesqa kachukuliwe siku moja jinsi Akwilini alivochukuliwa.

Mbaaf
 
Jamani polisi wana silaha wakiwa kazini, lakini wanakaa uraiani, wana familia na ndugu watoto tuanze nao mmoja mmoja huku
 
Tatizo la uhai ukitoka huwa haurudi tena. Hata wakichunguza haitasaidia kurudisha uhai wa Akwilina na wengine waliouawa na polisi.
We kweli kilaza,, Kwaiyo wakiua tena mwingine tuseme ivyoivyo,, ngojea Siku wamtwange risasi ya JICHO KUU mama yako uje kuongea hayo
 
"Ili ukweli wote ujulikane,kunahitajika kuundwa kwa tume huru ya uchunguzi wa mauji hayo. Tume ya haki za binadamu ina mamlaka hayo Kikatiba na kisheria," alisema Lissu.
Hiki tumesema kwenye nyuzi nyingine ndo kinachotakiwa kufanywa kujua matatizo yako wapi na wenye matatizo ni wakina nani-mtu mmoja mmoja au ni matatizo ya kimfumo. Risasi inayozungumziwa na wengi ni ile iliyo ondoa uhai wa yule binti wetu (MHSRIP) lakini ni wengi waliopigwa risasi au waliokoswa koswa hapana budi tujiulize kama tatizo ni hao askari waliofyatua risasi au ni mfumo wote wa kudhibiti maandamano? Kumshughulikia askari mmoja kunaweza kusipunguze tatizo. Hivyo uchunguzi ulitakiwa uanze kule NEC, msimamizi wa uchaguzi, Udhibiti wa maandamano, vyama vya siasa, je kulikua na upendeleo katika kushughulikia vyama vya siasa (kwa mfano kuna vyama vimelalamika lakini vingine havija lalamika-kuna nini hapa), watu waliokutwa na maandamano walishughulikiwa vipi (inaelekea wengi walikumbana na vipigo)?
 
Unajaribu kufuta upuuzi uliokomenti umeshindwa
Uliokomenti maana yake nini pumbaf wewe
I guess ignore list yangu inakuhusu mtu mzima ovyo kabisa....,unajua hiyo alama inasimamia nini jinga wewe?
Wala usinijibu maana I Don’t argue with fools usije ukanipa matusi, maana hiyo ndiyo character yako!
Stay put with your dumbest behavior! Embecile!
 
ingependeza hiki kiingereza uchwara chako ukamfundisha m/kiti wako awe anahudhuria vikao huko duniani

Zamu yako ya kupigwa risasi ikifika utapigwa chini ikuumue juu taahira wahed
 
Tatizo la uhai ukitoka huwa haurudi tena. Hata wakichunguza haitasaidia kurudisha uhai wa Akwilina na wengine waliouawa na polisi.
Kweli mkuu ila lazima kumbukumbu iwekwe kwamba serikali ya ccm awamu ya 5 ndiyo awamu katili kabisa kuwai kutokea kabla na baada ya uhuru.
 
Back
Top Bottom