Uchaguzi 2020 Lissu: Nikishindwa kwa haki nitakuwa wa kwanza kujitangaza

Lisu huyu huyu aliyeamuru barabara ifungwe ndio atajitangaza kushindwa??
 
Lisu huyu huyu aliyeamuru barabara ifungwe ndio atajitangaza kushindwa??
 
Duh hii ni kwikwi
 
Lisu huyu huyu aliyeamuru barabara ifungwe ndio atajitangaza kushindwa??
 
Akiingiza watu barabarani walete na familia zao wawepo ,sio watangulize watoto wawatu alafu watotowao wabaki.
 
Yuko sahihi sana..kila mtu anatakiwa apate haki yake.
 
Mkuu sijauliza kazi za mbunge, nimetaka kujua tu alichotekeleza mbunge wetu wa kawe kwa kipindi cha miaka 10 Ili tumpe tena miaka 5. Mbona unatumia nguvu nyingi sana kuelezea kitu ambacho sijauliza.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Chadema tumeshashindwa tuwe wakweli wa mambo.
 
Acheni unyumbu! Hakuna mtanzania anaeweza kuingia barabarani! Sio Somali hi!. Mikakati yenyewe ya ushindi hamna!
Mwenyekiti Mbowe mwenye saccos Yake kaingia mitini kawaacha Lissu na poyoyo wake Salum Mwalimu wanatapatapa eti washinde urais, labda urais wa pingapinga Fc.
 
Comrade Giresi ni wivu tu
 
Acha kutetea ushetani wewe kama mtu anaweza kuwadanganya waumini au watoto wa mungu jee wewe fisi tu si anaweza hata kukukata kolodani??
Kwa hiyo halima alivyowadanganya wanna kawe aliwakata kolodani (korodani)?
 
Sure.
 
Hatimae CCM inakata roho hakuna ambae angeamini kuwa Lissu kaweza kitu kilichoshindikana kwa na watu wengi.

Ninapigiwa simu na wanaCCM kutoka Karibu Mkoa yote wanasema Shikamoo Lissu!

Mimi nimewashauri wajipange ili mnada wa Majengo ya CCM ukifanyika angalao waambulie chochote ndio watimkie Chadema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…