Uchaguzi 2020 Lissu: Nikishindwa kwa haki nitakuwa wa kwanza kujitangaza

Lisu huyu huyu aliyeamuru barabara ifungwe ndio atajitangaza kushindwa??
 
Lisu huyu huyu aliyeamuru barabara ifungwe ndio atajitangaza kushindwa??
 
SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani📷📷📷📷, Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Duh hii ni kwikwi
 
Lisu huyu huyu aliyeamuru barabara ifungwe ndio atajitangaza kushindwa??
 
Akiingiza watu barabarani walete na familia zao wawepo ,sio watangulize watoto wawatu alafu watotowao wabaki.
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.

Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikawapora ushindi wao, atawaingiza watu barabarani kuteteta ushindi wao.

Amesema CHADEMA wakishinda ni lazima Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itangaze kwa heri au kwa shari.

Amesisitiza wanataka Uchaguzi wa Amani, lakini hawatakuwa tayari kugeuza shavu la pili ili waumie zaidi. Ameyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Tabora.
Yuko sahihi sana..kila mtu anatakiwa apate haki yake.
 
Swali linalojitokeza ni kwamba, Kazi za mbunge ni zipi? Ni kutoa misaada? Ni kutembelea misiba? Ni kusalimia wagonjwa?

Tunaweza kuzifahamu kazi za mbunge, kwa kuangalia kazi za Bunge, maana mbunge ni mwakilishi wa jimbo (wananchi) katika Bunge: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa katiba hii” Ibara ya 63(2), pia na Ibara ya 64(1) inaelezea kazi za Bunge, juu ya kutunga sheria. Hivyo basi Mbunge, ni mwakilishi wa jimbo lake katika chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kina madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake.

"Hivyo kutoa misaada, kusalimia misiba na kuwatembelea wagonjwa si kazi za mbunge. Hizi zimo ndani ya wajibu wake yeye kama mwananchi katika jamii anayoishi. Hata asingekuwa mbunge, angetakiwa kufanya hivyo maana wananchi wote wanafanya hivyo".

Reference...(kwakusoma zaidi) ZIJUE KAZI ZA MBUNGE WAKO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015
Mkuu sijauliza kazi za mbunge, nimetaka kujua tu alichotekeleza mbunge wetu wa kawe kwa kipindi cha miaka 10 Ili tumpe tena miaka 5. Mbona unatumia nguvu nyingi sana kuelezea kitu ambacho sijauliza.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.

Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikawapora ushindi wao, atawaingiza watu barabarani kuteteta ushindi wao.

Amesema CHADEMA wakishinda ni lazima Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itangaze kwa heri au kwa shari.

Amesisitiza wanataka Uchaguzi wa Amani, lakini hawatakuwa tayari kugeuza shavu la pili ili waumie zaidi. Ameyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Tabora.
Chadema tumeshashindwa tuwe wakweli wa mambo.
 
Acheni unyumbu! Hakuna mtanzania anaeweza kuingia barabarani! Sio Somali hi!. Mikakati yenyewe ya ushindi hamna!
Mwenyekiti Mbowe mwenye saccos Yake kaingia mitini kawaacha Lissu na poyoyo wake Salum Mwalimu wanatapatapa eti washinde urais, labda urais wa pingapinga Fc.
 
SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani, Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Comrade Giresi ni wivu tu
20200917_162543.jpg
 
Mulisema Mh Lissu haji ,mulisema akitua atakamatwa,mulitaka kumkata ili asigombee mukaona moto ungetokea ,kapeni zake zote ame exposed mauchafu yenu yote haku wakumgusa.Munatumia wakina Mondi,Malorry,Mikokoteni ,waganga wa jadi wote nchini kukusanya watu lakini yeye Mh Lissu anamvuto kuliko yoyote and tunaona furaha zawatu kwenye mikutano yake up to now you cant see trend huyu mwamba anayo command hatari??Anyway shida inaweza kuwa your reasoning ability is so low.
Sure.
JamiiForums1597539737.jpg
 
Hatimae CCM inakata roho hakuna ambae angeamini kuwa Lissu kaweza kitu kilichoshindikana kwa na watu wengi.

Ninapigiwa simu na wanaCCM kutoka Karibu Mkoa yote wanasema Shikamoo Lissu!

Mimi nimewashauri wajipange ili mnada wa Majengo ya CCM ukifanyika angalao waambulie chochote ndio watimkie Chadema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom