GEE2PATEL
Senior Member
- Oct 24, 2018
- 139
- 293
Hivi Lissu kama alijua kwamba ni mgonjwa kwanini aingilie masuala ya siasa kabla hajapona?
Siasa zote duniani zimesheheni watu wa aina mbali mbali na sifa mbalimbali, hasa linapokuja kwenye ishu ya ushindani wa hoja wengine uchanganya kidogo na mambo ya kumtoa kwenye mstari muhusika,
Ndo maana kwenye kampeni fulani tuliona mtu anaambiwa kuchafua jukwaa mwingine kaambiwa aliwahi kupata ukichaa,
Sasa Lissu siyo special kwamba akija vibaya kwenye hotuba zake anamtuhumu na kumdhalilisha rais kwamba hawezi ongea sentensi hata moja ya Kingereza hatukatai sawa, lakin na upande wa pili watasema kwanza asubiri apone na ile ilobaki kwenye spinal cord itoke, mwingine atasema asubiri dawa ya ganzi au ya fahamu iishe mwilini,
Hivyo mtu akisema hivyo utasikia upande wa pili karma is bitch tunacheka tu mambo yote ni hapa hapa duniani,
Sitashindwa kumjibu lissu kisa naogopa wafuasi wake wasinilaani na dua lao la kuku kwa mwewe,
By EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - G2P