GE2025 Lissu ni mtu na nusu

GE2025 Lissu ni mtu na nusu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
2,258
Reaction score
6,694
Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa,
Amepigwa kesi ya uhaini,
Anaongea ukweli bila kupepesa macho.

Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote,
Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge.

Huyu jamaa siku akihukumiwa kunyongwa ndio itakua siku ya mageuzi ya Tanzania.

Ni mawazo tu.
 
Ndo maana wamemfungia. Wanajua huyo mtu wao ni zaidi ya dhaifu maana hata kuongea tu hawezi.
Rais ni Tundu Lisu basi. Unamuachaje mtu mwenye akili nyingi kama yule mnatuletea form four failure?.
CCM mmeinajisi sana hii nchi na kwa dhambi hii Mwenyezi Mungu hata waacha salama.
 
Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM,
Amekula chuma nusu kufa
Amepigwa kesi ya uhaini
Anaongea ukweli bila kupepesa macho
Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote
Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge

Huyu jamaa siku akihukumiwa kunyongwa ndio itakua siku ya mageuzi ya Tanzania..
Ni mawazo tu.
Na uhakika 💯, mama amezungukwa na vilaza wanaomshauri, yaani hii move ya kumfunga Lissu Jela ilikuwa wazi kabisa unamuinua kisiasa, na imeonesha jamaa ana hatarisha maslai yao, hivyo akitoka Jela atakachokuwa anaongea basi kitabebwa kwa uzito na umma wa Watanzania. The biggest political mistake
 
Matatizo ya Tanzania kwasasa ninayoyaona yanayochelewesha kuiondoa ccm ni haya.
1. Ujinga wa watanzania wengi.
2.Vyombo vya Dola.
3. Unafiki wa viongozi wa dini.
viongozi wa dini watakuambia tutunze amani, kana kwamba mabadiliko yakitokea amani itaondoka. Amani ipo na itaendelea kuwepo hata yakitokea mabadiliko
 
Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa,
Amepigwa kesi ya uhaini,
Anaongea ukweli bila kupepesa macho.

Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote,
Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge.

Huyu jamaa siku akihukumiwa kunyongwa ndio itakua siku ya mageuzi ya Tanzania.

Ni mawazo tu.
Lissu Athipas Mugwahi Lissu Muujiza unaoishi sometime unatikwa uamini Mungu yupo ile ilikua ni Vita mtu kupigwa risasi kumi 16 upone alafu Uendeleze harakati Sio roho ya Kawaida
 
Back
Top Bottom