Nakazia hakuna cha unanijua mimi ni nani.Watanzania kuwatawala anahitajika mtu chuma kweli aliyenyooka Watanzania wanafiki wanafiki sana
Upo sahihi kabisa ukiwa kiongozi legelege kama alivyo mama watakula huku wanakuchekea usoni, mama anaupiga mwingi bandari inaenda, mama anaupiga mwingi Ngorongoro inaenda.Watanzania kuwatawala anahitajika mtu chuma kweli aliyenyooka Watanzania wanafiki wanafiki sana
Ni kweli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa.
Ni kweli Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMAMagufuli alikuwa hatunzi siri moyoni vivyo hivyo na Lissu asivyokuwa na subra,
Naunga mkono hoja na nimemshauri Mbowe asifanye kosa kama hili Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.
Sema lissu anafuata sheria na magu alkua mvunja sheriaLissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa.
Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina Nape, Muhongo wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake.
Magufuli alikuwa hashauriki na kama washauri wake watamshauri asivyotaka yeye anawatumbua. Endapo Lissu atafanikiwa kuwa M/Kiti basi washauri wake wajiandae vilivyo.
Magufuli aliichukia rushwa, Lissu rushwa kwake ni sumu ukimfuata kwa mlango wa nyuma jiandae kutokea mlango wa mbele, kwa hili Wenje anamjua sana Lissu.
Magufuli alikuwa hatunzi siri moyoni vivyo hivyo na Lissu asivyokuwa na subra, kabla ya Magufuli kuwa rais kuna clip ilikuwa inatembea mitandaoni akisema 'Nikiwa Rais watalimia kwa meno', sielewi leo Lissu anawaza kitu gani.
WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.
Asante Mkuu Pascal Mayalla kwa ushauri wako nafikiri atauzingatia ili tumpate Magufuli mwingine pengine kuna siku bandari yetu itakombolewa.Ni kweli
Ni kweli
Naunga mkono hoja na nimemshauri Mbowe asifanye kosa kama hili Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!
P
They are all the same , wote ni madikiteta ! Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!Sema lissu anafuata sheria na magu alkua mvunja sheria
Hizo sheria zenyewe tayari zimeshavunjika vunjika labda Lissu aanze upya kuziunga.Sema lissu anafuata sheria na magu alkua mvunja sheria
Walau sasa unaanza kutambua Magufuli alikuwa mzalendo.Asante Mkuu Pascal Mayalla kwa ushauri wako nafikiri atauzingatia ili tumpate Magufuli mwingine pengine kuna siku bandari yetu itakombolewa.
Tatizo lake ni moja tu, tamaa, pupa na mdomo 🐒Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa.
Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina Nape, Muhongo wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake.
Magufuli alikuwa hashauriki na kama washauri wake watamshauri asivyotaka yeye anawatumbua. Endapo Lissu atafanikiwa kuwa M/Kiti basi washauri wake wajiandae vilivyo.
Magufuli aliichukia rushwa, Lissu rushwa kwake ni sumu ukimfuata kwa mlango wa nyuma jiandae kutokea mlango wa mbele, kwa hili Wenje anamjua sana Lissu.
Magufuli alikuwa hatunzi siri moyoni vivyo hivyo na Lissu asivyokuwa na subra, kabla ya Magufuli kuwa rais kuna clip ilikuwa inatembea mitandaoni akisema 'Nikiwa Rais watalimia kwa meno', sielewi leo Lissu anawaza kitu gani.
WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.
Magufuli huyo amesoma ulaya ,nenda kalinde kabuli chattoPut respect on the name ‘Magufuli’.
Huwezi mfananisha na taahira kama Lissu.
Magufuli alikuwa anaipenda nchi yake na wananchi wake.
Sio sawa kabisa na sakapoko waliopo leo, hasa mtu wa hovyo kama Lissu.
Magufuli hata hiyo ulaya alikuwa haitaki. Sio huyu anaelipwa na wazungu.
Hizi dharau zenu yaani Lissu umuweke sawa na great Magufuli.
Kusoma nje ni yeye au serikali ilimpeleka kumnoa.Magufuli huyo amesoma ulaya ,nenda kalinde kabuli chatto
Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa.
Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina Nape, Muhongo wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake.
Magufuli alikuwa hashauriki na kama washauri wake watamshauri asivyotaka yeye anawatumbua. Endapo Lissu atafanikiwa kuwa M/Kiti basi washauri wake wajiandae vilivyo.
Magufuli aliichukia rushwa, Lissu rushwa kwake ni sumu ukimfuata kwa mlango wa nyuma jiandae kutokea mlango wa mbele, kwa hili Wenje anamjua sana Lissu.
Magufuli alikuwa hatunzi siri moyoni vivyo hivyo na Lissu asivyokuwa na subra, kabla ya Magufuli kuwa rais kuna clip ilikuwa inatembea mitandaoni akisema 'Nikiwa Rais watalimia kwa meno', sielewi leo Lissu anawaza kitu gani.
WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.
Japo walikuwa maadui,
sasa povu la nini?Put respect on the name ‘Magufuli’.
Huwezi mfananisha na taahira kama Lissu.
Magufuli alikuwa anaipenda nchi yake na wananchi wake.
Sio sawa kabisa na sakapoko waliopo leo, hasa mtu wa hovyo kama Lissu.
Magufuli hata hiyo ulaya alikuwa haitaki. Sio huyu anaelipwa na wazungu.
Hizi dharau zenu yaani Lissu umuweke sawa na great Magufuli.
WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.📌📌🔨💪🏿Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa.
Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina Nape, Muhongo wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake.
Magufuli alikuwa hashauriki na kama washauri wake watamshauri asivyotaka yeye anawatumbua. Endapo Lissu atafanikiwa kuwa M/Kiti basi washauri wake wajiandae vilivyo.
Magufuli aliichukia rushwa, Lissu rushwa kwake ni sumu ukimfuata kwa mlango wa nyuma jiandae kutokea mlango wa mbele, kwa hili Wenje anamjua sana Lissu.
Magufuli alikuwa hatunzi siri moyoni vivyo hivyo na Lissu asivyokuwa na subra, kabla ya Magufuli kuwa rais kuna clip ilikuwa inatembea mitandaoni akisema 'Nikiwa Rais watalimia kwa meno', sielewi leo Lissu anawaza kitu gani.
WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.
Nilimpinga Magufuli kwa udikteta wake uchwara.Walau sasa unaanza kutambua Magufuli alikuwa mzalendo.
Bandari jamaa washakomba kwa miaka 33 na mkataba siri. Kuuvunja ni kupitia IGA.
Nyongeza mama keshagawa misitu na kila kinachowezekana.
Pongezi ni kuona wapinga Magufuli kama wewe, sasa mnaanza kumuelewa.
Aliwaambia mtamkumbuka kwa mema.