Lissu ni bora ukakaa kimya

Nahisi sijakuelewa na sidhani kama nitakuelewa, sijajua umetoa ushauri au point gani hasa umejikita nayo/
Issue ni TAML kugombea uraisi au CDM inapitia wakati mugumu?
Maana kama ni TAML kuhojiwa na vyombo vya kimataifa , hiyo ni haki yake na ukiona hadi anahojiwa na hivyo vyombo maana yake ni mtu muhimu mno, kama unabisha waulize hao ndugu zako ni nani amehojiwa na hivyo vyombo vya kimataifa au yule mzee kijana alieshangilia kuupata mwana CCm mpya (Sucker).
Nawashangaa sana kumunywesha maneno Lisu,hivi ni wapi alisema anampango wa kugombea uraisi/
Alichosema ni kuwa, yeye ni mwanachama wa CDm,iwapo ataaminiwa na chama na pia vyama washirika wa CDm kwa maana ya UKAWA wakiona anafaa na wakamtuma yeye hatakuwa na objections.
Anyway, ni uelewa wa mtu.
 

Kwa kweli walahi
Hilo li squatter liendelee tu na ujinga wake walahi
Watanzania hatumtakiiiii msaliti mkuu tundulissu msaliti


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joined on Jan 03, 2019

Icon; picha ya jiwe

Mradi maalum wa kusafisha upepo kwenye mitandao

Karibu sana, soon utaokoka na kumrudia muumba wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…