ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
- Thread starter
- #21
Anakili kuwa CCM bado inanguvu sana na anasema ni vyema tukajua ukweli ili tuweze kuwashinda vilevile CCM ni dhaifu sana ina nguvu kwakuwa kuishinda lazima utumie nguvu ya ziada nguvu tao ipo 1 kwenye uchaguzi usishindane nao kwa hela kwakuwa wanahela ajabu wana hela za serikari wana hela za wafanyabiashara na hela za wizi. pia wanahela za wafanyabiashara wakubwa wasiolipa kodi. wakati wa uchaguzi usijaribu mchezo wa fedha kwani wao wanapesa si mchezo nguvu ya pili ni mtandao wao wana ofisi nchi nzima. unapoenda kwenye uchaguzi lazima ujue mtandao ni nguvu na tatu ni jina CCM jina tu CCM ukisema tu jina hilo CCM linafahamika hivy rahisi wao kufahamika nne mfumo mzima wa kiserikari ni wakiccm tano tume ya uchaguzi kwa kiasi kikubwa wako upande wa ccm je utapata haki hapo. CCM bado ina nguvu usiipuuze ukiipuza umekwisha. Udhaifu wao ccm ni kwamba CCM wameharibu nchi hii poote hakuna wasipoharibu hivyo rekodi yao chafu inajulikana kote nchini ukitaka kushinda waambie wannchi ukweli ilia wananchi waelewe waambie wananch kuwa CHADEMA hakuna hela ila wana HAKI. hivyo ni vyema waanze maandalizi mapema fanyeni mikutano marakwamara. jiandaeni mapema kwa uchaguzi ili rafiki ajulikane na adui poa