ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone
wanachofanya MAGAMBA ni kuwaweka busy wabunge wa CDM na kesi ili wasiwatumikie wananchi ili next election ionekane they did nothing
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone
Mahakama ni chombo huru wana haina link na usalama wa taifa wala CCM. Kumbuka wanaitwa usalama wa Taifa na si usalama wa CCM. Kama Lissu alifunja sheria rungu la mahakama litamgonga tu. Tuachie mahakama iwe huru ifanye kazi yake
Sitaki kusema kama ni kweli au uongo kuwa CCM wanampango huo................ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone
sio chi chat hapa..juzi watu walivyokuna uzi kuwa hakimu wa lema kahongwa nyie chit chat mlisema kuwa ni stori za kwenye barMmmh.....watu mtaanza na kuzusha vya uongo sasa ilimradi discussion tu iendelee!