Lissu nakushauri usitoe matamko mpaka upone kabisa

Hakuna mtanzania wa kuhoji hoja za lissu.wewe huna akili kubwa ndo maana umeshindwa kumwelewa lissu.Hivi kweli kwa waitara yule aliyechizika ndo wakumwekea uzi humu?kuna mambo mengi ya msingi zaidi ya hayo.over
 
Lissu bado ni mgonjwa apewe vidonge vyake
 
Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kitambo sana,
Nimegundua uwezo wake wa kufikiria umeshuka kwa kasi mno,

Kuna points anakuwa anatoa kama hazielewi,

1. Katika kujibu hoja za waitara kakwepa mambo ya msingi yaliyosemwa na waitara , ye kakimbilia kusema kuhusu ruzuku tu na kusema Mbowe ndo anatumwa na chama akakope kwa ajili ya chama na alete maneno tu kwamba nimepata kiasi fulani na ntawakopesha bila kufuata taratibu za ukabidhianaji,

Anasema points zinazoashiria kwamba CHADEMA ni chama cha Mbowe , yeye kama msomi ilibidi atafte njia sahihi ya kuwakisilisha habari hii ambayo itamvua aibu hata yeye,

Lissu anaelewa fika kwamba shingo ya CHADEMA inaelekea kibra, muda wowote kuanzia sasa,

Lissu hajui kwamba mpaka sasa hakuna hoja ya msingi wanayojibu CHADEMA kuhusu wanaohama, points kubwa ni wamenunuliwa, ni wametishwa, wanasahau kuangalia je ni kweli wanaohama wanachosema kina ukweli?

Mfano , nafasi ya uenyekiti inaleta shida kweli?

Je ni kweli Ruzuku inatumika vilivyo? Mbona C.A.G Alisema upotevu wa billion 2?

Lissu anaelewa kwamba agenda ya ufisadi imeanza kupotea vinywani Mwa wanachama wa Chadema na Lissu akiwemo?

Je anaelewa kwamba mwenyekiti wake hana kamati ya kumkanya? Anajiamulia anavyotaka, nimekaa na prof mmoja wa CHADEMA wa kanda ya ziwa, alinieleza mengi sana, kumbe kuna mengi hatuyajui,

Je Lissu anajua kwamba muda wowote wabunge machachari wanahama wengine kwenda CCm?

Je anajua kwamba Dr slaa aliacha pengo kubwa?

Vipi anajua kwamba ujio wa Lowassa umeharibu chama na utakicost mpaka kufa kwake?

Lissu inabidi upone kwanza ndo uzijadili siasa za Tanzania

Ataendelea kutoa matamko amueni lolote.
 
JF endeleeni kutetea uhuru wa kujieleza wakuu, ndiyo maana tunaona hata waliotindikiwa akili kama huyu aliyeanzisha uzi huu naye akipata fursa ya kujieleza nawapongeza sana Mungu atawalipa
 
Lissu ni wakala wa wapigaji ndio mana anatumika na Mbowe kumfichia upigaji
Eti mbowe anatumwa na chana akakope!ni kikao gani kilimtuma mbowe akakope
Ni kikao gani kiliidhinisha Mbowe ajikopeshe bilioni mbili za chama
Ni kikao gani kiliamua mbowe akiuzie chama fuso mbili kwa shilingi milioni 400 cash
mawakala wa wapigaji unawajua wewe? kawaulize wale wabunge wa ccm waliokuwepo bungeni wakati wa kupitisha miswada ya kipuuzi !? wakati wakina lisu wametoka? unakumbuka EPA, ESCROW, KAGODA, MEREMETA twambie lisu alihusika kwenye lipi hapo? unakumbuka siku simbachewene alipokuwa anasoma mswada wa gesi na mafuta pale dodoma wabunge wa upinzani walitoka na huyu mnaemwita MZALENDO kwa kuwadanganya alikuwa bungeni. we kutwa kucha unashinda kwenye mitandao kudanganya watu.
 
Napata shaka kama ndani ya CCM kuna mtu mwenye uwezo wa kujibu hoja za Lissu.
 
Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kitambo sana,
Nimegundua uwezo wake wa kufikiria umeshuka kwa kasi mno,

Kuna points anakuwa anatoa kama hazielewi,

1. Katika kujibu hoja za waitara kakwepa mambo ya msingi yaliyosemwa na waitara , ye kakimbilia kusema kuhusu ruzuku tu na kusema Mbowe ndo anatumwa na chama akakope kwa ajili ya chama na alete maneno tu kwamba nimepata kiasi fulani na ntawakopesha bila kufuata taratibu za ukabidhianaji,

Anasema points zinazoashiria kwamba CHADEMA ni chama cha Mbowe , yeye kama msomi ilibidi atafte njia sahihi ya kuwakisilisha habari hii ambayo itamvua aibu hata yeye,

Lissu anaelewa fika kwamba shingo ya CHADEMA inaelekea kibra, muda wowote kuanzia sasa,

Lissu hajui kwamba mpaka sasa hakuna hoja ya msingi wanayojibu CHADEMA kuhusu wanaohama, points kubwa ni wamenunuliwa, ni wametishwa, wanasahau kuangalia je ni kweli wanaohama wanachosema kina ukweli?

Mfano , nafasi ya uenyekiti inaleta shida kweli?

Je ni kweli Ruzuku inatumika vilivyo? Mbona C.A.G Alisema upotevu wa billion 2?

Lissu anaelewa kwamba agenda ya ufisadi imeanza kupotea vinywani Mwa wanachama wa Chadema na Lissu akiwemo?

Je anaelewa kwamba mwenyekiti wake hana kamati ya kumkanya? Anajiamulia anavyotaka, nimekaa na prof mmoja wa CHADEMA wa kanda ya ziwa, alinieleza mengi sana, kumbe kuna mengi hatuyajui,

Je Lissu anajua kwamba muda wowote wabunge machachari wanahama wengine kwenda CCm?

Je anajua kwamba Dr slaa aliacha pengo kubwa?

Vipi anajua kwamba ujio wa Lowassa umeharibu chama na utakicost mpaka kufa kwake?

Lissu inabidi upone kwanza ndo uzijadili siasa za Tanzania
Pale shetani anapomshauri Mungu
 
Dunia ktk upana yake imebadilika sana, Ukizitazama nchi zinazoiongoza dunia ,mielekeo ya Viongozi wao ni inatosha kuelezea viongozi wanchi ingine

Imani yangu Lissu siku moja atakua Rais lkn atakua ikiwa tu Marekan hayupo Trump nakam yupo awe amefunga ndoa na ulaya .

Lkn kwamwendo huu, Mtu anayeshika dola ni ngumu kumshinda !!
 
Lissu ni wakala wa wapigaji ndio mana anatumika na Mbowe kumfichia upigaji
Eti mbowe anatumwa na chana akakope!ni kikao gani kilimtuma mbowe akakope
Ni kikao gani kiliidhinisha Mbowe ajikopeshe bilioni mbili za chama
Ni kikao gani kiliamua mbowe akiuzie chama fuso mbili kwa shilingi milioni 400 cash
Kumbe
 
Back
Top Bottom