Lissu kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

Lissu kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

Tunawaambia hiv siku tukiamua kumpumzisha mh mbowe, mjue tunambandika chuma heche au jackob!!
 
Kuna washabiki wengi wa cdm humu jukwani, wanafikiria ccm haimtaki Mbowe, tumeona wakiropoka ovyo na kupandwa na jazba.

Niwashauri, viongozi wa ccm hakuna wanachopenda kama kuona Mbowe anachafuliwa, mwana ccm yote makini anajua wazi kuwa mbowe ndiye anayetufaa kwa hizi siasa zetu mpya za mabavu. Sisi twafanya yetu bila kujali, mbowe anatuliza boli.

Mbowe ni ngao ya amani, siasa za heshima, msikivu na mtu wa huruma sana.
 
Hata kama siyo Mbowe, hawezi kuwa Mwambe. Kama ni suala la Mwambe, Mbowe aendelee kushika usukani.

Mwambe, JPM alisema anamsuburia arudi CCM. Akawaambia wananchi kuwa anafahamu Mwambe ni CCM aluenda CHADEMA kwa vile tu CCM walimfanyia figisu wakati wa uchaguzi. Lakini hata baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge kupitia uounzani, amebakia CCM.

Huyo kweli wa kukabidhiwa uongozi CHADEMA? Hilo litawezekana tu kama CHADEMA nayo itakuwa ya wajinga kama ilivyo CCM.

CCM kwa kadiri ya utafitu wa TWAWEZA, ndiyo tunajua inapendwa na watu wajinga. Na upinzani unaungwa mkono na watu wenye uelewa.
 
MTU anayefaa kwa ukatibu Mkuu Ni yule Wa Moro aitwaye Albert marcoz.yuko vizuri
 
Mwenyekiti wenu wa ccm aligombea na nani? Au alipita bila kupingwa? Sisi tuna uchaguzi mwenye nguvu atashinda
 
Hii dhambi ya ubaguzi wa ukanda ni mbaya sana. KWA HIYO WANAOFAA KUONGOZA CHADEMA NI WA KANDA YA KASKAZINI PEKEE? DHAMBI HÌ HAITAWAACHA SALAMA KAMWE
Mwambe aliingia CHADEMA mwaka gani? Asije kurubuniwa na CCM. Watu wa Kusini siwaamini. Hawana msimamo thabit. Tumeona mwaka jana ktk korosho.
 
Back
Top Bottom