Lissu kauli ya kuwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuwa sio watumishi

'"Hii kauli ya kuwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuwa sio watumishi wa umma ni ya kijinga tu na aliyeitoa ni mjinga tu vile vile." [HASHTAG]#Tundu[/HASHTAG] Lissu, Rais wa TLS.
Kuna tatizo katika kumnukuu jaribu kupitia tweet zake tena.
 
'"Hii kauli ya kuwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuwa sio watumishi wa umma ni ya kijinga tu na aliyeitoa ni mjinga tu vile vile." [HASHTAG]#Tundu[/HASHTAG] Lissu, Rais wa TLS.
Mwl Nyerere alisema tofauti kati ya mjinga na mpumbavu ni kwamba mjinga unaweza kumuelemisha akawa mtu bora lakini mpumbavu huwezi. Kwa hiyo,
 
[QUOTE="Francis12, post: 20958731, member: 390326"]'"Hii kauli ya kuwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuwa sio watumishi wa umma ni ya kijinga tu na aliyeitoa ni mjinga tu vile vile." [HASHTAG]#Tundu[/HASHTAG] Lissu, Rais wa TLS.

Tundu Lissu ni taahira nani alisema kuwa hao sio watumishi wa Umma? kilichosemwa ni kuwa vigezo vya hao kupata ajira ni kujua kusoma na kuandika...[/QUOTE]
Sasa kama RC na DC anatakiwa kujua kusoma na Kuandika basi hii nchi ipo karne ya 7.
 
[QUOTE="Francis12, post: 20958731, member: 390326"]'"Hii kauli ya kuwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuwa sio watumishi wa umma ni ya kijinga tu na aliyeitoa ni mjinga tu vile vile." [HASHTAG]#Tundu[/HASHTAG] Lissu, Rais wa TLS.

Tundu Lissu ni taahira nani alisema kuwa hao sio watumishi wa Umma? kilichosemwa ni kuwa vigezo vya hao kupata ajira ni kujua kusoma na kuandika...[/QUOTE]
Wewe ndo umeenda chaka, pole! Watu wooooteeee tulimsikia huyo mama akisema hivyo! Au ndo kakutuma umnyooshee kauli yake?
 
Tundu Lissu acha matusi matusi na dhihaka kwa mamlaka na hata Nyerere hakuwahi kufanya dhihaka hizo ktk kutafuta ukweli wa jambo.

Tundu Lissu nenda Mahakamani ukapate tafsiri kuhusu watumishi wa umma na Viongozi wa kisiasa kisheria ni wakina nani??

Sio kulalamika tu na kutoa tafsiri za kuwachanganya wanainchi kisa unamtafuta Paul Makonda kwanza ni aibu kwa mwanasheria kama wewe kuingia ktk mambo ya kusadikika.

Hasira zote kisa Mkuu wa Dar Paul Makonda hajaguswa ndiyo shida yako.Kumbuka na 2020 ni Karibu sana na uwezekano wa kuwa na Wabunge wachache wa upinzani ni mkubwa.
 
Hahahaaaa..... sio watumishi wa umma wa watanzania bali watumishi wa aliyewateua,may be tuwatafutie jina jingine,watumishi wa mfalme

Hii inafaa wananchi waelezwe kwa kina kwamba hao hawatumikii umma katika maeneo waliyopo hivyo wananchi wasijihangaishe nao
 
Nasubiria jopo la mawakili nguli lilete mashtaka mahakamani ya kumshughulikia Bashite. Nawaombeeni kwa Mwenyezi Mungu mawakili mfanikishe hili haki itendeke kwa wote
 
Tundu Lissu ni taahira nani alisema kuwa hao sio watumishi wa Umma? kilichosemwa ni kuwa vigezo vya hao kupata ajira ni kujua kusoma na kuandika...
Eti ndiyo mgombea mtarajiwa 2020. Kuna ugumu gani wa kutumia kauli za staha kama kiongozi mtarajiwa na kuanza kujenga profile yenye sura ya kitaifa? Haya matusi yanamsaidia nani? Kila akifungua mdomo ni matusi. Geez!!!
 
Back
Top Bottom