Lissu kasukumwa au kaondolewa?

Lissu kasukumwa au kaondolewa?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,416
Reaction score
9,324
Unajua wakati mwengine hawa mawakili wanachekesha sana, kweli pale utasema kasukumwa au kaondolewa. tuache kuokoteza mambo yasiyo ya msingi.
Wakikili Dkt Nshala aache siasa, afanye kazi ya Uwakili, aheahimu taaluma yake, mambo ya kisiasa awaachie wenyewe.

Wamshauri mteja wao Lisu aache ukaidi akiwa mikononi mwa maafisa magereza, anapaswa kuheshimu amri za maafisa wa magereza sio kuleta jeuri.
Magereza wanafanya kazi zao kwa kufuata taratibu na sheria.

Wacheni kutapatapa, fuateni sheria zilizo wekwa. Lisu hayuko juu ya sheria yoyote ile, hivyo hana budi kutii taratibu za magereza, vinginevyo atakuja kuinuliwa mzobemzobe.

Hiyo clip inaonyesha baada ya shughuli za mahakama kwisha, Lisu bado aliendelea kungangania pale kizimbani, sasa ulitaka magereza wabaki wanamuangalia tu sio! huko ni kuwafundisha kazi yao Magereza.

Maafisa wetu wa Magereza ni miongoni mwa majeshi wanao fuata na kuheshimu sana taratibu labda uwe mkaidi.
 
Unajua wakati mwengine hawa mawakili wanachekesha sana, kweli pale utasema kasukumwa au kaondolewa. tuache kuokoteza mambo yasiyo ya msingi.
Wakikili Dkt Nshala aache siasa, afanye kazi ya Uwakili, aheahimu taaluma yake, mambo ya kisiasa awaachie wenyewe.

Wamshauri mteja wao Lisu aache ukaidi akiwa mikononi mwa maafisa magereza, anapaswa kuheshimu amri za maafisa wa magereza sio kuleta jeuri.
Magereza wanafanya kazi zao kwa kufuata taratibu na sheria.

Wacheni kutapatapa, fuateni sheria zilizo wekwa. Lisu hayuko juu ya sheria yoyote ile, hivyo hana budi kutii taratibu za magereza, vinginevyo atakuja kuinuliwa mzobemzobe.

Hiyo clip inaonyesha baada ya shughuli za mahakama kwisha, Lisu bado aliendelea kungangania pale kizimbani, sasa ulitaka magereza wabaki wanamuangalia tu sio! huko ni kuwafundisha kazi yao Magereza.
machadema utafikiri yote hayana akili wanaandika na waraka kabisa eti katendewa mambo ya kutweza utu wake yaani ukiwa chadema na akili uanziacha urauiani kabisa wanataka huruma ya umma mtu mkaidi kama lissu mkimchekea anaweza kuwa tia hata vidole vya macho ili mkimgusa tu watu wanakuja juuuhuyo anatakiwwa siku moja wamppige tanganyika jeki akikaidi kuondoka mahakamani akisubiri kunyoosha madole yake kama koleo
 
tusipende kukuza mambo. tuache unafiki na uzandiki. wacheni Askari Magereza wafanye kazi zao.
 
Back
Top Bottom