Sidhani kama kuna mkono wa CCM hapa, kinachozingatiwa hapa ni utawala wa sheria. Kama mtu hakufuata taratibu za uchaguzi, kwanini asinyang'anywe hayo madaraka? Ndio maana nimesema, tatizo linaweza kuwa kwa wabunge wenyewe au chama chao kwa kutowaelewesha vizuri wagombea wake kuhusu kanuni za uchaguzi.