mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
......Sasa Magari hayo na polisi hao wamehamia Arusha tayari kwa Kumvua Lissu Ubunge Rasmi leo hii maana CCM huwa wanaweka magari ya polisi tayari kwa hukumu ya dhuluma........
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana
CCM walishinda Urais kwa magumash piaKumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana
I'm wondering why is this only happening to CDM MPs. There must be something wrong with them as well as their part CDM.Mkuu, are you mad or you just want to provoke people...
I'm wondering why is this only happening to CDM MPs. There must be something wrong with them as well as their part CDM.
kizazi cha MkamaStaili ya kulinda kura kumbe mlikuwa mnaiba kura ku2mia eti nguvu ya umma
Hahahah..umenifurahisha sana. Am happy kufahamu kuwa upo nje ya TZ.Njia yako ya kutufikishia ujumbe kuwa upo abroad nimeikubali. Ujumbe umefika....Salaamu sana Mkuu Rejao.
Kwa kuwa niko kwenye Time Zone nyingine sikutegea nisome comment yako usiku huu. Au na wewe siku hizi umehamia kwa wapiga maboksi? Najua Tz mida hii ndo inaelekea alfajiri. Vp, mna shifti ya mchana na usiku? Wape salaamu Lumumba na Magogogni wakumbushe ...."Ni upepo tu utapita"
uzao wa shetanikizazi cha Mkama
I'm wondering why is this only happening to CDM MPs. There must be something wrong with them as well as their part CDM.
TIMING,Mkuu
Unafahamu kwanini haya yanatokea... ni sawa na zile kura zilizoibiwa live, ni sawa na uchakachuzi uliotokea kwenye primaries ni sawa na dhuliuma yoyote ile ya nchi zenye watawala dhalimu
Mark My word.... Sierra Leone was once upon a Tanzania Identical twin (in peace and politics), it turned into blood diamnond country
and it was because of people like you, who would take a mickey of anything that hurts other people, i was there post war, kusaidia wamama walioteseka sana.... mifano yote wanayotoa, ni sawa ya kejeli unazotoa mkuu wewe na mfananao
I am just curious, WHAT MAKES YOU IGNORE EVERY SIGN OF A OTHERS SUFFERING
Ulipokua sekondari hukua hivyo, you are disappointing mkuu............ and accumulate rage and anger that may go beyong keyboard
all the best, naelekea Mirambo
Sidhani kama kuna mkono wa CCM hapa, kinachozingatiwa hapa ni utawala wa sheria. Kama mtu hakufuata taratibu za uchaguzi, kwanini asinyang'anywe hayo madaraka? Ndio maana nimesema, tatizo linaweza kuwa kwa wabunge wenyewe au chama chao kwa kutowaelewesha vizuri wagombea wake kuhusu kanuni za uchaguzi.mkuu unaelewa vizuri sana intention ya chama chako katika hili sema tu unajitoa akili na fahamu..but tell them to keep up with their mission at the end of the day there will be a lot of suprises coming on their way..
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.
Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.
Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante
Noted!Kuwa mwangalifu na kauli mkuu,hata Mbuyu ulianza kama mchicha,watu wamechoka