abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Leo Mh Tundu Lissu kawaambia watanzania na waandish wa Habari kuwa Serikali yake yeye italipanua jiji la Dar na kuhakikisha anaongeza usafiri wa Reli za umeme kwani Kujenga mabarabara tu haitoshi pia anaongeza mabas ya Mwendokasi na kuupanua Mkoa wa Dar
Pia kasema Dar es salaam nzima haina sehemu ambayo watu wanaweza kwenda kupumzika na kusema kua serikal yake lazima itafanya ayo
Tundu Lissu amekuwa akipiga kelele juu ya Miundombinu inayo jengwa Dar na kusema kua vitu ivyo havimfaidishi mtu wa kijijini na kusema kua je Watu watakula Madaraja? Au watakula ndege. Na mimi pia ningependa kumuuliza izo Treni atazo jenga zitamsaidia nini mtu alie kijijini??
Pia maendeleo sio vitu ni watu kua na hela so izo Treni ni nini?
Tundu Lissu anasema Dar hakuna sehemu ya kupumzikia je ni kweli?
Au Tundulisu ni Mtu anae taka kuiongoza nchi asio ijua?