britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 18,053
- 46,924
- Thread starter
-
- #21
Umejibu kisomi nimependa lakin ukamalizia kiukuda, kila anayeanzisha uzi si kwamba anaamriwa aseme nini, pia nawe hukuwa na haja ya kucoment hapa kama uliona uzi huu hauna hajaMkuu britanicca , with due respect, hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii hapa JF hata kama ni muanzishaji mzuri na mkongwe wa mada-hata zile zinazokinzana. Hakuna mahali popote ambapo kuna mabishano kuwa ni nani kati ya Prof. Kabudi na Lissu yuko 'vizuri' kuliko mwenzake. Hao ni wanasiasa na wanajibizana kisiasa. Hakika, huna hoja wala hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii ambayo inaweza kuishia kumtweza mmoja wa hao. Kama huna hoja, si lazima uanzishe mada. Muda mwingine soma za wenzako!
Kulia kwako hakuwezi kuwa ni kushoto kwangu?Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto?
Mungu ni wa wote ndio so kwenda kwenye chombo kilichoundwa kutoa haki na Mungu atasimama huko serikali na ccm ihukumiwe kunyongwa hadi kufa.Hahaa wewe mwenyewe unajua kuwa njama zote mmezinga nyinyi.
Hoja zake hamna uwezo WA kuzipangua mliamua kuzipangua kwa risasi. Lkn hata hivyo Mungu ni WA wote.
Mkuu britanicca , with due respect, hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii hapa JF hata kama ni muanzishaji mzuri na mkongwe wa mada-hata zile zinazokinzana. Hakuna mahali popote ambapo kuna mabishano kuwa ni nani kati ya Prof. Kabudi na Lissu yuko 'vizuri' kuliko mwenzake. Hao ni wanasiasa na wanajibizana kisiasa. Hakika, huna hoja wala hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii ambayo inaweza kuishia kumtweza mmoja wa hao. Kama huna hoja, si lazima uanzishe mada. Muda mwingine soma za wenzako!
Hahaha hahaha hahaha hahahKizazi cha wadogo zetu ni kizazi ambacho hakijui substance ya maana ni ipi. Mtanzania kuiteka akili yake ni jambo dogo sana.
Unashangaa kusikia eti wachekeshaji na wao wanafungua makanisa na bado wanapata vichwa vingi tu.
Kabudi yupo juu sana, nimeiangalia hii clip ya bunge la sasa, jamaa anamwaga shule, kama vile mwalimu anaongea na wanafunzi.
Lissu ana tatizo la kushindwa kuitawala arrogance yake, hachelewi kuanza kupayuka, na hawezi kudhibiti hisia zake.
Nimekushauri tu. Najua kuwa wewe ni mmoja wa wanaJF wanaopenda kurefusha mada zao na kuzitetea hata kama wameandika 'pumba'. Shaurika!Umejibu kisomi nimependa lakin ukamalizia kiukuda, kila anayeanzisha uzi si kwamba anaamriwa aseme nini, pia nawe hukuwa na haja ya kucoment hapa kama uliona uzi huu hauna haja
Huna haja ya kunishauri una majukumu mengi, una kazi ya kuwashauri kina mbowe, pia nawe una ya kushauri??? Hahaha hatari sanaaaNimekushauri tu. Najua kuwa wewe ni mmoja wa wanaJF wanaopenda kurefusha mada zao na kuzitetea hata kama wameandika 'pumba'. Shaurika!
Mahakamani jalada mushalifunga na hamtaki kusikia taarifa zozote kuhusu kamanda TL.Mungu ni wa wote ndio so kwenda kwenye chombo kilichoundwa kutoa haki na Mungu atasimama huko serikali na ccm ihukumiwe kunyongwa hadi kufa.
Angejibia huko, si kuanzisha mada mpya
Hahahaha anasikilizwa kama mwananchi mwingine yeyote yule ila sio lazima kila asemalo lifanyiwe kazi tukitaka kufanyia kazi maoni ya mwanchi mmoja mmoja tutakuwa na nchi ya ajabu sana...Mahakamani jalada mushalifunga na hamtaki kusikia taarifa zozote kuhusu kamanda TL.
Tishio namba moja WA serikal ya Jiwe, TL.
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Ww una taaluma ya sheria?Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Hamna na hamtaweza kusikiliza maoni yake kwa sababu ni tishio kiupande wenu utawezaje kumsikiliza mtu unaemuona ni adui yako.Hahahaha anasikilizwa kama mwananchi mwingine yeyote yule ila sio lazima kila asemalo lifanyiwe kazi tukitaka kufanyia kazi maoni ya mwanchi mmoja mmoja tutakuwa na nchi ya ajabu sana...
Aache kuforce mambo.
Asante Petro.Mkuu britanicca , with due respect, hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii hapa JF hata kama ni muanzishaji mzuri na mkongwe wa mada-hata zile zinazokinzana. Hakuna mahali popote ambapo kuna mabishano kuwa ni nani kati ya Prof. Kabudi na Lissu yuko 'vizuri' kuliko mwenzake. Hao ni wanasiasa na wanajibizana kisiasa. Hakika, huna hoja wala hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii ambayo inaweza kuishia kumtweza mmoja wa hao. Kama huna hoja, si lazima uanzishe mada. Muda mwingine soma za wenzako!
Mtu anayebaeili kauli yake kwa kotu kimoja sio msomi wa kusifika. Principle haibadiliki, ukiwa na njaa na ukishiba inabakia vile vileNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,