Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Msando huyuhuyu mchumia tumbo.Wasioelewa watakushukia kwa maneno ya kipumbavu lakini ukweli ndo huo. Lissu hana anachojua zaidi ya kubwabwaja. Ni kati ya wanasheria wa hivyo kuwahi kutokea. Hata bwana mdogo Albert Msando anamtoa kwente reli. Ajitathmini aone kuwa nje ya ulingo wa siasa anacho kitu anaweza kufanya ? He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Kazi ya kabudi in kutoa macho kama bundi wakati anajibu hoja bungeni hasa asizozijua.Unazungumzia Kabudi gani ...........!!?
Huyu aliyetuingiza NKENGE kwenye Makinikia au mwingine .......!!? Tatizo Watanzania tunapenda sana maneno matamu ...!!
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Haaahaaa....imekuwaje tena mama zetu na sio mimi na wewe? Mna kazi sana mnaomtumainia binadamu ambaye ana limitations zake. Lissu sio Tanzania. Ila ni mtoto wa Tanzania. Mtoto kamwe hawezi kukua kwa baba au mama yake. Mtabisha sana ila ukweli ni kuwa kuisaliti nchi sababu ya ubinafsi haikubaliki
Kabudu yupi huyo unaemzungumzia? Yule wa bunge la katiba au ni huyu huyu kinyonga wa sheria na katiba?Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Lisu aliwahi kusema kabudi hakuwahi kumfundisha chuo kikuu in lissu voice proffessorial rubbishKabudi ni mwalimu wa Lisu
Wewe hujui lolote kaa tulia sindano ikuingie walimshindwa hadi wazee wa miwani nyeusi kumshauri amuondoe kwa mtutu maana ni shida atakuja kumsumbua yeye na genge lakeWasioelewa watakushukia kwa maneno ya kipumbavu lakini ukweli ndo huo. Lissu hana anachojua zaidi ya kubwabwaja. Ni kati ya wanasheria wa hivyo kuwahi kutokea. Hata bwana mdogo Albert Msando anamtoa kwente reli. Ajitathmini aone kuwa nje ya ulingo wa siasa anacho kitu anaweza kufanya ? He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Duu! UmetishaLet Prof. Kabudi be x and y be Lisu a function of x, f(x)
So
If x is member of all professors
Then f(x)=y
y=αx+β
Where
α and β are non negative integers and non zero[emoji23][emoji23][emoji23]
So, if there is no exit of prof, Lisu is equal to Constant
Therefore Lisu is always the best than professors regardless of their numbers [emoji23][emoji23][emoji23]
Don't forget other factors are fixed
Sent using Jamii Forums mobile app