britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,178
- 41,625
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi

Tukubali hapa ni jukwaaa la siasa. Kwa ukongwe wako utagundua kwamba baadhi ya wana JF ukiwauliza wanaamini Lissu ni mtume wa ufahamu. Tufikie hatua tuwaokoe wanaolilia kila leo juu ya ufahamu wa Lissu. Vijana wetu wengi ufahamu ni mdogo na ndo maana unasikia ushabiki ukihama kumfuata mpiga kelele, siyo mwenye ufahamu. Wanamuelewa haraka Lissu na Mange kuliko Marando au Kijo au mwanaharakati yeyote anayetetea mambo ya maisha yao. Hili ni tatizo ktk media zote, hadi huko redioni na TV.
Ukiwasikiliza wahabarishaji ktk vyombo vyao ni aibu tu! Mtu anajadili kwa sura ya kutojua kabisa dunia inavyokwenda na akitoka hapo anaishia kuangalia mechi za ulaya hadi kesho. Je, umejiuliza kwa nini wanamshabikia Lissu kwenye mambo ya uchummi wakati hajui lolote.