DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,002
- 30,893
Kitumbua kimeingia mchanga.
Kalihutubia ndiyo maana kutoa ufafanuzu ni kuhutubia piaHapo ndio kalihutubia taifa?
Ndio, ulitaka aseme "ccm imepanua na wananchi wamefurahi zaidi" ndo uite hotuba!Hapo ndio kalihutubia taifa?
Ndio pia amerudia kusema na kutahadharishaEti huko nje wanatucheka!!!!Huyu Lissu mnafiki sana,huyu si ndio alisema Tutashitakiwa?Nchi itakuwa kama Zimbabwe?
Anageuza vipi? Tokea 1998 lisu anapigania sheria mbovu za madini iweje useme anageuza kawa kigeugeu? Magufuli kaanaza 2017 akina Lisu tokea zamani wewe jidanganye ulivyokariri wenzako Wajanja akina JK wapo Canada kwenda kuweka mambo sawa waendelee kunemeka ww unabakia kuwa shabiki kama chenji ya Rada na pesa itayeyuka hutajua nani kala nini wapi zaidi ya yeye kwenda kujengea uwanja wa ndege kijijini kwao chato.Badala ya kuunga mkono mabadiliko yanayofanywa na jpm ndo kila sk tunafatilia yule kigeugeu wa singida anavyozidi kugeuza geuza mambo
Wewe kama nani ulisemee taifa..wanasingida mashariki!Lisu, alishapuuzwa na Taifa.. Na atapuuzwa na Wana Singida Mashariki, Lisu hawezi kushinda uchaguzi tena
Wabunge wa CCM walipitisha mikataba kihuni sasa kwa ujinga wao wanadhani watavunja mikataba kihuni huni wanafikiri wazungu watanasa kwenye kamati za Ufundi za Daud Bashite watemgue mikataba kihuni ndipo mambo yaende, ni vigumu sana kuwaza hivyo wazungu wanajipanga na endapo hawatakubaliana nao kulingana na mikataba waliyopewa na Tanzania kwa kupitishwa na wabunge wa CCM lazima wataenda mahakamani, lawama zote ni wabunge wa CCM na kamati za kijanja za akina Mruma kufanya utafiti feki kisha kuwahadaa watanzania.Kwa hiyo ni bora kukiuka masharti ya makubaliano tuliyoweka saini kukubaliana? Kwa faida ya nani?
Katumia data hizo hizo za mrumaLissu mruma kasema tunaibiwa na unakiri anayo maabara yake ya kupimia vikole pale GST, wewe hata munzani hauna hebu usitupotezee muda, sisi tuko driving school tayari kupokea noah
Kalihutubia ndiyo maana kutoa ufafanuzu ni kuhutubia pia
Magufuli alikuwepo bungeni tokea 1998 mbona hakupinga hiyo mikataba? Ni mabadiliko gani anafanya Magufuli? Ujue njia alizotumia ni njia mbaya wazungu wanazidi kutengeneza njia za kwenda kwenye sheria kisha tutakuja kulipa fidia kubwa, Tambua kuwa njia nzuri ambayo magufuli alipaswa kuwa anapitia ni kuitengua mikataba kabla ya kufanya chochote lakini yy kafanya jambo pasipo kutengua mikataba mibovu hilo ndilo linapigiwa kelele kwani litaenda kuigharimu Nchi.Badala ya kuunga mkono mabadiliko yanayofanywa na jpm ndo kila sk tunafatilia yule kigeugeu wa singida anavyozidi kugeuza geuza mambo
Sawa.Ndio, ulitaka aseme "ccm imepanua na wananchi wamefurahi zaidi" ndo uite hotuba!
Chungulia kwenye meli ya mizigo maana kuna tetesi kuwa makontena ya michanga yanakwenda ulaya kimya kimya kwa magendo kaa nao vizuri humo bandarini watakupa hizo siri.Mimi bado nipo hapa bandarini nasubiri Noah yangu hayo mengine mtayamaliza wenyewe. ..
Na sasa wabunge wa CCM, mawaziri na wajinga wajinga wengi wa CCM wapo busy kutengeneza propaganda kibao juu ya Lisu ili aonekane anampinga magufuli kwa 100% wamesahau kuwa watanzania wa sasa wapo makini sana wanajua kuchambua pumba mbichi mbivu kuwahadaa na vita ya ghafra blackmail za CCM lazima watashituka, hii vita ya madini kuna Wajanja wa CCM wapo busy kutengeneza njia za kujipatia pesa kupitia nyanja mbalimbali mfano Bashite yy kutengeneza kamati ya Ufundi kuwadhoofisha wazungu hapo anapiga pesa ndefu, January makamba mzee wa fursa yy yupo kwenye kamati ya kuandaa mazungumzo na kusaka wawekezaji wapya, hapo atapiga pesa ndefu huku pia akiwachimba mikwara kwa uharibifu wa mazingira napo anapiga pesa, wapo Wajanja wengine wa CCM wameunda na kutengeneza njia kama 100 za kupiga pesa kupitia huo huo mgogoro wa Acacia zikiwemo za kuwateketeza wale ambao wataonekana kuwawekea usiku kwenye anga za Dili zao, fainali wanategemea siku Acacia wakifikia mwafaka na Tanzania lazima magufuli atembelee migodi yote apate kupewa Rushwa kubwa ya mapande makubwa ya dhahabu akaweke kwake awe anauza kidogo kidogo kama mkapa alivyofanya, watanzania wameamka wanajua kila kitu hawawezi kumshabikia magufuli pasipo kutafakari kwanza.Lissu ni mtu makini na anaejua mengi kuhusu mambo ya madini kwa muda mrefu.
Tatizo lipo kwa ccm ambao ndio wezi wa RASLIMALI zetu. Lkn wezi hawa wa ccm kupitia wabunge wa ccm (mayuda iskarioti) wamekuwa wakipitisha mambo haya ya kipuuzi kama vile nao hawana watoto watakaoumia.
Mfano mwingine ni mswada wa dharura wa GESI ulivyopitishwa kwa DHARURA na haraka na hawa MAYUDA ISKARIOTI wetu ikiwa haina faida kwa nchi bali kwa wezi wa nje. KIBAYA KABISA WALIHONGWA KILA MBUNGE WA CCM ili wapitishe mikataba hiyo.
Huyu Kijana wa lumumba akijibu nifahamishe mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mbona Kaja na data tofauti kwenye kamati ya Bomani na hii ya kamati ya kwake kama kweli ana mizani.
Mda ndio utaongea hilo swala la kuigharimu inchi halipo tatzo tunongea mambo bila kuelewa,tunawasikia kina lissu wakiongea porojo ndio tunawaunga moja kwa moja bila kujuaMagufuli alikuwepo bungeni tokea 1998 mbona hakupinga hiyo mikataba? Ni mabadiliko gani anafanya Magufuli? Ujue njia alizotumia ni njia mbaya wazungu wanazidi kutengeneza njia za kwenda kwenye sheria kisha tutakuja kulipa fidia kubwa, Tambua kuwa njia nzuri ambayo magufuli alipaswa kuwa anapitia ni kuitengua mikataba kabla ya kufanya chochote lakini yy kafanya jambo pasipo kutengua mikataba mibovu hilo ndilo linapigiwa kelele kwani litaenda kuigharimu Nchi.