lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Yaelekea Uwezo wako wa kuchakata mambo ni mdogo. Ivi huoni hapo kawawekea kitanzi mjivike mwenyewe shingoni?Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliokataa uchunguzi ni wale waliomficha derevaHuenda kuna ukweli lakini Unajua kwa nini watu wanahisi hilo ni shambulio lenu kwa sababu aliyekataa uchunguzi huru ni ninyi na mbowe ndiye aliyekuwa wakwanza kuomba uchunguzi huru kutoka vyombi vya nje, na kama mlikuwa na uhakika kahusika msinge pata kigugumizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaYaan mbowe hawezi kukubali kuchunguzwa, mbowe ni mtu hatari sana kwa Taifa ili
Mbowe hawezi kuwa tiyari kuchunguzwa haki ya MunguHuo ni bonge la mtego. Mbowe nina hakika yuko tayari hata leo. Hao wengine wawili sasa ndio raha ilipo.
Kama ni kweli huo itakuwa bonge la uchunguzi. Waje hapa M16 wafanye wanavyofanya siku zote, anzia Magufuli, Samia, Majaliwa, Mbowe, Mashinji, Makonda, Musiba....!Huo ni bonge la mtego. Mbowe nina hakika yuko tayari hata leo. Hao wengine wawili sasa ndio raha ilipo.
Leo wana chadema mnakoma na kupewa vya uso.. huku wa humu..
Nimejua asilimka kubwa nyie sio wanachama hai wa hicho chama, bali ni watu mnaokuja humu kwa ajili vyuma vimekaza kutolea stress zenu za njaa kali.
Huwa mna hoja nyepesi Sana,yaani hii umeianzishia na uzi! Tayari buku 7 imeingiaTundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata kuandika hujui ,sasa hiyo elfu saba kwa siku inapotea bure!
Akitajwa mbowe kuna watu wanaweza kukuchinja 😀😀 povu mbayaWewe nikituko unaelewa maana ya uchunguzi huru? Mbowe ninani? Ruhusu uchunguzi huru usianze kutupa majibu kabla ya uchunguzi huru kwa maana ya hata wewe au Mimi na yeyote achunguzwe tujue ukweli. Kumpoint mtu haina maana achana na ushabiki usio na tija njaaa mbaya sana. Kimbuka siyo lazima kuanzisha thread hata ukiwa msomaji inatosha. Huu ujinga utatuisha lini watanzania wenzangu?
Lisu anataka Scotland Yard FBI maana anajua tayari CCM wametengeneza propaganda za kumbakia kesi mbowe lakini wakija wachunguzi wa kimataifa watasema Ukweli ndiyo maana karuhusu mbowe kwa sababu anajua mbowe hahusiki kabsaTundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jamaa jinga kweli! Ulimsikiliza ukamuelewa lengo lake?
Mbowe ndiye alizing’oa cctv camera? Mbowe ndiyo aliwatoa walinzi wa Getini?Akitajwa mbowe kuna watu wanaweza kukuchinja 😀😀 povu mbaya
kama kulikuwa na sababu ya msingi ya kufanya hivyo nadhani watu wanacheka sasa hivi...Binadamu anayemmiminia binadamu mwenzake risasi 38 hakika si mzima na ukweli ni kwamba aliyemimina risasi kwa sasa anateseka kuliko aliyemiminiwa risasi...kweli Mungu Mkubwa.
Nani amesema ziling'olewa?Mbowe ndiye alizing’oa cctv camera? Mbowe ndiyo aliwatoa walinzi wa Getini?
Hivi nasisi tunaruhusiwa kwenda kupeleleza kwao?Lisu anataka Scotland Yard FBI maana anajua tayari CCM wametengeneza propaganda za kumbakia kesi mbowe lakini wakija wachunguzi wa kimataifa watasema Ukweli ndiyo maana karuhusu mbowe kwa sababu anajua mbowe hahusiki kabsa
Kumficha kwa POLICCM? Dereva yupo na anaongea na media, hivyo kwakuwa anajulikana alipo tumieni hata Interpol.Nadhani unafahamu ya kwamba POLICCM are among the suspects.