Acha matusi, acha kutukanaHapa hujafanya utetezi bali umeanika ujinga wako zaidi. Kwa taarifa yako hao askari huwa hawaondoki hapo getini na huwa wanapokezana. Tuchukulie polisi waliondoka, na cctv cameras nazo zilienda kwenye kibanda cha kahawa? Je hao askari waliopaswa kuwepo getini walikamatwa ili kuhojiwa? Kama kuna makomandoo wamekaa ndani kwa ajili ya kesi ya kubumba ya Mbowe, kwanini askari waliokuwa getini aliposhambuliwa Lisu hawajawekwa ndani?
Nawewe umeanika ujinga wako.Getini hakukua na walinzi, Nani alifungua geti na wakati huo wapiga risasi walikua wapi?Hapa hujafanya utetezi bali umeanika ujinga wako zaidi. Kwa taarifa yako hao askari huwa hawaondoki hapo getini na huwa wanapokezana. Tuchukulie polisi waliondoka, na cctv cameras nazo zilienda kwenye kibanda cha kahawa? Je hao askari waliopaswa kuwepo getini walikamatwa ili kuhojiwa? Kama kuna makomandoo wamekaa ndani kwa ajili ya kesi ya kubumba ya Mbowe, kwanini askari waliokuwa getini aliposhambuliwa Lisu hawajawekwa ndani?
Hata la chacha inajitoa ufahamu?Kesi yake iliendeshwa kwenye mahakama hizi hizi za ccm na hukumu ilitoka, labada kama ulikuwa hujazaliwa. Ila bado hujachelewa, mahakama hizi ni za ccm, kafungue tena shauri la kifo cha Chacha Wangwe uwasilishe ushahidi. Kwa taarifa yako akina Makamba Sr wanajua vizuri kuhusu kifo cha Wangwe. Kama hujui basi omba upewe mkanda mzima.
Nawewe umeanika ujinga wako.Getini hakukua na walinzi, Nani alifungua geti na wakati huo wapiga risasi walikua wapi?
Hata la chacha inajitoa ufahamu?
Acha matusi, acha kutukana
Sasa na wewe unachoma!!! Kwa hamza tu mlitumia risasi zaidi ya 100 na mlikuwa mnamuona!!!!! Sasa vipi kwa huyu mwamba ambae mlikuwa mnaotea na hamumuoni? Hii issue kubalini uchunguzi kutoka nje kama ni mbowe itajulikana kama ni serikali pia itajulikanaLissu na Serikali walizungukwa, hilo hata Lissu mwenyewe analiewa. Wakiwa wapo katikati ya malumbano ya Makininikia, Lissu akafanyiwa timing ili ionekane kuwa ni Serikali. JPM aliingia madarakani kukawa na kundi la watu nje ya Serikali na pia njea ya vyama vya upinzani, ambao walikuwa hawampendi. Kundi hilo ndiyo vile vile lililokuwa likiteka watu pamoja na kufanya mauaji kule Rufiji kwa lengo la kuichafua Serikali. Lissu mwenyewe anajua kuwa hakushambuliwa na Serikali. Ingekuwa Serikali asingekuwepo. Alishambuliwa na mamluki na ndiyo maana walikuwa waoga wakatumia risasi nyingi sana kwa sababu walikuwa wanafanya kazi wakiwa wameogopa. Professional huwa haogopi na hawezi kutumia risasi nyingi hivyo!
Chadema walitaka kila anaetuhumiwa afanyiwe uchunguzi sasa kwanini Chadema walipotaka uchunguzi huru usio na shaka kabisa seriakli ya jiwe ilikataa?Lisu kwa sasa amekuwa akijiweka mbali sana na Mbowe. Yan haoneshi kuguswa kabisa na kesi zinazomuandama mwenyekiti wake. Lisu ni wakili msomi kwahiyo ana sababu zake za kufanya hivyo ambazo ww hauzijui, na ndio maana aliwahi kutaka jamaa na yeye afanyiwe uchunguzi. Umaarufu wa Lisu ndan na nje ya chama ulimuweka tumbo joto mkuu wa timu akihofi kunyanganywa kiti chake katika uchaguzi mkuu wa chama. Hiki kiti hakikuwahi kumuacha salama Chacha Wangwe, kakoswa koswa Zito na genge lake, pia amenusurika Lisu.
Unafanyaje uchunguzi ikiwa shahidi wa kwanza ambae alikuwepo ktk tukio (dereva) alifichwa na mwenyekiti?Chadema walitaka kila anaetuhumiwa afanyiwe uchunguzi sasa kwanini Chadema walipotaka uchunguzi huru usio na shaka kabisa seriakli ya jiwe ilikataa?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
So why bashite hakuwahi kukanusha kuwa alikuwepo eneo la tukio?, Kwanini shutuma alizikali kimya hadi leo?,Lissu na Serikali walizungukwa, hilo hata Lissu mwenyewe analiewa. Wakiwa wapo katikati ya malumbano ya Makininikia, Lissu akafanyiwa timing ili ionekane kuwa ni Serikali. JPM aliingia madarakani kukawa na kundi la watu nje ya Serikali na pia njea ya vyama vya upinzani, ambao walikuwa hawampendi. Kundi hilo ndiyo vile vile lililokuwa likiteka watu pamoja na kufanya mauaji kule Rufiji kwa lengo la kuichafua Serikali. Lissu mwenyewe anajua kuwa hakushambuliwa na Serikali. Ingekuwa Serikali asingekuwepo. Alishambuliwa na mamluki na ndiyo maana walikuwa waoga wakatumia risasi nyingi sana kwa sababu walikuwa wanafanya kazi wakiwa wameogopa. Professional huwa haogopi na hawezi kutumia risasi nyingi hivyo!
Kwahiyo hamza alihojiwa baada ya kuua policcm ndio ushahidi ukapatikana?Unafanyaje uchunguzi ikiwa shahidi wa kwanza ambae alikuwepo ktk tukio (dereva) alifichwa na mwenyekiti?
Hata uchunguzi ukifanyika na muhusika akaonekana anatokea ndani ya chama chake, bado mtakuja kupinga kuwa uchunguzi haukuwa huru kama inavyofanyika sasa ivi kwenye case za mwenyekiti wa chama.Kwahiyo hamza alihojiwa baada ya kuua policcm ndio ushahidi ukapatikana?
Uchunguzi silazima awepo muhusika kama kweli mnania hiyo.
Serikali haiwezi kujichunguza kwasababu ndiye suspect namba moja.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kwani policcm wanajichunguza?Hata uchunguzi ukifanyika na muhusika akaonekana anatokea ndani ya chama chake, bado mtakuja kupinga kuwa uchunguzi haukuwa huru kama inavyofanyika sasa ivi kwenye case za mwenyekiti wa chama.
Lissu bado anaendelea kukusanya ushahidi. Kuna siku utashangaa atakavyowatapika wale ambao haukuwadhania, si unamjua jamaa ni domo wazi!
Nakwambia hivi japo umbishi hutaki hilo lakni jiwe ndiye alitoa tarifa ya Lissu auwawe, Mungu akamponya huyohuyo jiwe akamfanyia mizengwe kupitia supika asitibiwe,akafukuzwa ubunge ati ni mtoro bungeni,akanyimwa stahiki zake watu walijitolea kumuombea serikali kupitia mgongo wa mbwa policcm wakapiga marufuku yaani kila aina ya udhalimu unaoujua jiwe ameufanya Mungu atamlani japo amrfariki.Lisu bado anaendelea kukusanya ushahidi. Kuna siku utashangaa atakavyowatapika wale ambao haukuwadhania, si unamjua jamaa ni domo wazi!
Maccm haya a akiliUnatamani tuelewe hilo jambo kwa tafsiri ya kiccm, lakini kwa bahati mbaya tuna ufahamu mpana wa mambo.
Acheni hadithi za "alinacha" na uongo juu ya suala la TOBO kupigwa "risasi za ndege"! Tumeshalizungumzia sana suala hili na the theory behind yake tukaisema. Ni hivi hicho kipigo alichopata TOBO ilikuwa na bado ni sehemu ya MKAKATI wa Gaidi Mwenyekigoda na JOPO lake kuhakikisha TOBO hapati nafasi ya UENYEKITI wa CHADEMA! Mkakati kama huo ulifanyika kwa yule Mura wa kule Tarime. Wote tunajua what happened to MURA! Amini - usiamini, mwanachama yoyote wa CHADEMA akikitaka hicho kiti ATAJUTA KUZALIWA. Najua huamini, lakini ukipata nafasi ya siri na ukaongea na Mwepesi, utaamini haya ninayo sema.Nakwambia hivi japo umbishi hutaki hilo lakni jiwe ndiye alitoa tarifa ya Lissu auwawe, Mungu akamponya huyohuyo jiwe akamfanyia mizengwe kupitia supika asitibiwe,akafukuzwa ubunge ati ni mtoro bungeni,akanyimwa stahiki zake watu walijitolea kumuombea serikali kupitia mgongo wa mbwa policcm wakapiga marufuku yaani kila aina ya udhalimu unaoujua jiwe ameufanya Mungu atamlani japo amrfariki.
Ametesa watu sana. Dah Mungu atamuadhibu kwa aliyowatendea watu wasiokua na hatia.
Chadema baada ya tukio waliondosha cctv ili kupoteza ushahidi na vilevile waliondosha ulinzi ili Lissu apigwe risasi. Wacheni zihaka msijione mnavuta puunzi mkajiona mnahati miliki pekeyenu ya kuishi.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mungu akusamehe tu na kejeli zako. Yakikusibu furahia kama haya unayoyafurahia sasahivi.Acheni hadithi za "alinacha" na uongo juu ya suala la TOBO kupigwa "risasi za ndege"! Tumeshalizungumzia sana suala hili na the theory behind yake tukaisema. Ni hivi hicho kipigo alichopata TOBO ilikuwa na bado ni sehemu ya MKAKATI wa Gaidi Mwenyekigoda na JOPO lake kuhakikisha TOBO hapati nafasi ya UENYEKITI wa CHADEMA! Mkakati kama huo ulifanyika kwa yule Mura wa kule Tarime. Wote tunajua what happened to MURA! Amini - usiamini, mwanachama yoyote wa CHADEMA akikitaka hicho kiti ATAJUTA KUZALIWA. Najua huamini, lakini ukipata nafasi ya siri na ukaongea na Mwepesi, utaamini haya ninayo sema.
Huyu hata mwaka huu hauishi, nyama yake italiwa na udogo.Mungu akusamehe tu na kejeli zako. Yakikusibu furahia kama haya unayoyafurahia sasahivi.
Huo ni bonge la mtego. Mbowe nina hakika yuko tayari hata leo. Hao wengine wawili sasa ndio raha ilipo.