Lissu: Haijawahi tokea nafasi ya Jaji mkuu ikawa wazi kwa miezi 5 toka uhuru

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Akiwasilisha bajeti kivuli ya wizara ya katiba na sheria.Mhe.Tundu lissu amesema ni aibu kubwa kama taifa kuwa na mhimili ambao haujakamilika kwa zaidi ya miezi 5

Lissu ametolea mfano mhimili wa serekali na bunge na kusema una viongozi wake.Rais kwa serekali na Spika kwa bunge wapo.

Amehoji iweje mahakama mpaka leo haina jaji mkuu?Amesema ni kumaanisha kuwa ma jaji wa mahakama kuu na rufaa na mawakili nchini wote hawana sifa ya kushika nafasi hiyo?Amesema vipi kuhusu majaji wa jumuiya ya madola?Si wapo kama nchini hamna mwenye sifa?

Amemaliza kwa kusema toka tumepata uhuru hamna rais aliicha mahakama bila jaji mkuu kwa kipindi kirefu kama Magufuli.
 
so what????? Hakuna sheria wala katiba iliyovunjwa
 
Jamaa anatamani ateuliwe yeye, labda awe Jaji Mkuu wa vilaza wenzake chadema lkn siyo wa Tanzania yetu!
 
Magufuli Ana tatizo la uelewa,ndiyo maana katumbukiza nchi kwenye umaskini Mkubwa
Teh teh teh kwaiyo kakutumbukiza kwa utawala wake wa mwaka na nusu tu? Wewe ndio mwenye tatizo la uelewa mkuu.
 
Akiwasilisha bajeti kivuli ya wizara ya katiba na sheria.Mhe.Tundu lissu amesema ni aibu kubwa kama taifa kuwa na mhimili ambao haujakamilika kwa zaidi ya miezi 5
Lissu ametolea mfano mhimili wa serekali na bunge na kusema una viongozi wake.Rais kwa serekali na Spika kwa bunge wapo.
Amehoji iweje mahakama mpaka leo haina jaji mkuu?Amesema ni kumaanisha kuwa ma jaji wa mahakama kuu na rufaa na mawakili nchini wote hawana sifa ya kushika nafasi hiyo?Amesema vipi kuhusu majaji wa jumuiya ya madola?Si wapo kama nchini hamna mwenye sifa?
Amemaliza kwa kusema toka tumepata uhuru hamna rais aliicha mahakama bila jaji mkuu kwa kipindi kirefu kama Magufuli.
Marais hawafanani
 
Lissu anafanya kazi kwa mazoea.
Katiba ipo wazi kabisa inasema ikitokea nafasi ya jaji mkuu Rais atateua kaimu jaji mkuu.
Ila Rais safari hii angeteua Jaji mkuu moja kwa moja,kama ilivyozoeleka pangechimbika.Lissu ana hasira Rais,ameruka mtego wao,walitaka waseme Rais kakiuka katiba.
Hata hivyo Lissu anawashwa na nini,Kaimu Jaji mkuu anatumia ofisi,gari,walinzi na nyumba ya jaji mkuu na anafanya kazi za jaji mkuu.Tundu lissu asubiri tu probation iishe badala ya kutafuta umaarufu kwa suala ambalo lipo wazi kabisa
 
Back
Top Bottom