Lissu: Dr. Slaa ni Rais ajaye

Mkipuuza tu ushauri wa NCCR-MAGEUZI mtaangukia pua vibaya sana na huyu Malaya wenu.
Hivi nyie vijana wa chama tawala mtaacha lini matusi? matusi hayajengi hoja sana sana yanaonyesha hulka ya mchangiaji ilivyo, tujirekebishe tujenge nchi yetu sote.
 
Hivi nyie vijana wa chama tawala mtaacha lini matusi? matusi hayajengi hoja sana sana yanaonyesha hulka ya mchangiaji ilivyo, tujirekebishe tujenge nchi yetu sote.
Mkuu, kosa la TataMadiba ni lipi? Mtu anayeoa wanawake na kuacha anaitwaje, labda utusaidie
 
hilo halina ubishi dr slaa ndio tumaini pekee lililobaki kwa watanzania
 
dr slaa atosha wengine wa ccm wakati wametuibia kila rasilimali
 
Ninyi ccm kwa miaka hiyo hiyo 22 mmejenga makao makuu wapi? Mbona hujitambui?

CCm ni majizi hatuwataki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, unataka watanzania wasemeje ili muelewe hamtakiwi? Kwenda zenu huko msubiri kulipa mali zetu!

Nyie endeleeni kuwaabudu SLAA na MBOWE huku wakikifilisi chama, miaka 22 bado makao makuu yako kwenye chumba cha kupanga hamuhoji nuo ufisadi.
 
Slaa akiwa rais nchi itaongozwa na kimada wake. Katibu Mkuu tu wa Chama , watu hawapumui huko itakuwa urais?
 
Ninyi ccm kwa miaka hiyo hiyo 22 mmejenga makao makuu wapi? Mbona hujitambui?

CCm ni majizi hatuwataki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, unataka watanzania wasemeje ili muelewe hamtakiwi? Kwenda zenu huko msubiri kulipa mali zetu!
Inamaana haujui Makao Makuu ya CCM? Ndiyo maana TataMadiba anawatukana, akili zenu kiufipaufipa tu.
 
Mkuu, kosa la TataMadiba ni lipi? Mtu anayeoa wanawake na kuacha anaitwaje, labda utusaidie
Kama wewe huoni tatizo wengine tunaona kuna tatizo nafikiri hii inatokana na malezi na makuzi tofati tuliyolelewa.
 
Wewe ndiye Pu.m.b.avu kuliko hata huyo madiba aliyenielewa na amenyamaza. Hayo makao makuu mlijenga lini? Ungenyamaza ungeficha wendawazimu wako!.

Inamaana haujui Makao Makuu ya CCM? Ndiyo maana TataMadiba anawatukana, akili zenu kiufipaufipa tu.
 
jamani! hivi hata kama mtu kaishia la saba. ukichukua kura zote tofauti na kikwete, hata asilimia 48 hazifiki. sasa sijui huo uraisi anaupataje! msidhani ccm na ACT wamelala. nadhani hapo mnajishibisha upepo kwa kunywa mapovu ya bia. slaa nina uhakika kuwa hawezi kuiona ikulu pasipo juhudi za kweli kufikiwa. hapo tunadanganyana tu. huwezi ukasimama na kuongea kwa niaba ya,watu milioni 49 ambao asilimia 80 hawakutambui ukadai kuwa slaa atakuwa raisi. huo urahisi anaingia kwa baiskeli au anauomba toka kwa wananchi! siamini kuwa nchi hii imefikia mahali mtu asimame na kutengeneza hoja bila utafiti.
lissu tupatie tafiti ulizofanya kuonesha kuwa asilimia 51 ya watanzania wanamuunga mkono slaa na utupe uhakika kuwa watampigia kura.. unaongea jukwaani haujui katika umati unaokusikiliza wanachoongea.

ni vema kufikiri kabla ya kujilisha upepo kama tube ya baiskeli.
 
dr slaa atosha wengine wa ccm wakati wametuibia kila rasilimali
SLAA analipwa shilingi ngapi kwa mwezi? Pesa anazojikopesha kila siku zinatoka wapi? Una habari hata kadi cha CHADEMA tu anayezitengeneza ni MBOWE ndiye anajipatia tenda?
 
Labda watanzania wa Kaskazini na shemeji zake wa Kaishozi.

Kote hata huku Kigoma tunamkubari na kumwamini Dr Slaa kuwa ndiye Rais wetu na ndio mana mkoa wa Kigoma hasa wilaya kibondo tulimchagua kwa kura nyingisana kuliko yeyote.Tumejipanga kumpa kura nyingisana uchaguzi ujao
 
Siku akiwa rais huyu mzinzi lazima nikatafute hifadhi hata Sudan kusini, siko tayari kuishi nchi inayoongozwa na Padri mzinifu kama huyu
 
kuna mtu ambaye ajui Dr.slaa ndiye Rais wetu..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…