Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 454
- 635
Sijui angekuwepo ingekuwaje maana combination yake ingekuwaMchungaji Mtikila alikuwa anajitetea mwenyewe
kutetewa na mawakili zaidi ya 50, inaonyesha anachokipigania kinaungwa mkona na wasomi wenzakeHabari ya Leo wanajamvi...
Naomba kueleweshwa faida ya Lissu kutetewa na mawakili Vs Kama atajitetea mwenyewe.
Kwa mtazamo wangu, naona kama Lissu atajitetea mwenyewe na mawakili wakajitoa, hii italazimu mahakama ikaleta matokeo ya wazi.
Wakili wake atakua na maswali elekezi ambayo watakua wameshakubaliana kabla na hayo maswali mengine yatakua yametoka kwa Lissu,,,kwahiyo akitetewa na mawakili ni bora zaidi.Habari ya Leo wanajamvi...
Naomba kueleweshwa faida ya Lissu kutetewa na mawakili Vs Kama atajitetea mwenyewe.
Kwa mtazamo wangu, naona kama Lissu atajitetea mwenyewe na mawakili wakajitoa, hii italazimu mahakama ikaleta matokeo ya wazi.
Maswali huwa yanajitokeza papo hapo mahakamani kulingana na ushahidi wa upande wa mashatakaWakili wake atakua na maswali elekezi ambayo watakua wameshakubaliana kabla na hayo maswali mengine yatakua yametoka kwa Lissu,,,kwahiyo akitetewa na mawakili ni bora zaidi.
Embu toa Mazinge hapo!Sijui angekuwepo ingekuwaje maana combination yake ingekuwa
- Lissu
- Mwabukusi
- Mtikila
- Ponda
- Mazinge
- Slaa
Kwani ni chawa?Embu toa Mazinge hapo!
Siku hizi kachange, ni pro gvt, ni chawa ndiyo.Kwani ni chawa?
Mtikila alikuwa shost yake au siyo yeye
MahinyiraSijui angekuwepo ingekuwaje maana combination yake ingekuwa
- Lissu
- Mwabukusi
- Mtikila
- Ponda
- Mazinge
- Slaa
Hapana....katika kesi za jinai unajitetea itakapoonekana mshtakiwa ana kesi ya kujibu...labda wewe unazungumzia cross examination hii ndio inakua na maswali ya papo kwa papo.Maswali huwa yanajitokeza papo hapo mahakamani kulingana na ushahidi wa upande wa mashataka
Duh!!Siku hizi kachange, ni pro gvt, ni chawa ndiyo.
Mfuatilie hotuba zake hata juzi kalaani wito wa kumtoa Lissu jela bila masharti.
Akidai Serikali haiamrishwi ni kumkosea adabu mama.
7 Fr. KitimaSijui angekuwepo ingekuwaje maana combination yake ingekuwa
- Lissu
- Mwabukusi
- Mtikila
- Ponda
- Mazinge
- Slaa
8. RolingaSijui angekuwepo ingekuwaje maana combination yake ingekuwa
- Lissu
- Mwabukusi
- Mtikila
- Ponda
- Mazinge
- Slaa