Lissu asipojifunza sasa basi hawezi jifunza tena

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
5,752
Reaction score
10,523
Tundu Lissu asipojifunza sasa siku atakapo achiwa huru, kuhusu hali anayopitia sioni kama atajifunza tena.

Asipojifunza aina ya watu wanaopaswa kuwa nyuma yake ni watu wa aina gani hawezi jifunza tena.

Lissu anapigia mbuzi gitaa hali hii inapaswa kuwa funzo kwa lissu hasa anayopitia, Mbuzi ndio wafuasi wanaopaswa kuwa nyuma yake.

Ubaya ni kuwa Lissu ana Ukenya katika nchi ya Watanganyika sioni huo Ukenya wake ukifanya kazi zaidi labda akimbie Tanganyika akaufanyie huo Ukenya wake nje ya Tanganyika hii nayo ni mbinu inaweza kulipa ila kwa Watanganyika huo Ukenya wake hauwezi kufua dafu.

Azory yupo wapi alikuwa na ukenya huyu ndugu leo yupo wapi nani anajali hata kuhusu yeye ?

Soka bwana mdogo alikuwa na Ukenya leo yupo wapi nani anajali kuhusu yeye ?

Mdude naye sumu ya nyigu imebaki historia kwa mkewe na ndugu zake

Lissu akitoka abadili mbinu aache kupigia mbuzi gitaa hawa mbuzi wapo busy kula majani ya simba na yanga, diamond na zuchu, ngono, malaya hawana habari na gitaa lake.

Akikaza kichwa atakuwa anajilisha upepo na atakuwa mjinga wa kisiasa japo sina hakika kama ujinga huo atakuwa kaufikia.

Siasa za Ukenya Tanganyika haziwezi kufanikiwa.

No reforms No Election
 
Screenshot_20250808-135021~2.png
 
Mtoa post ni mchochezi
 
Siasa n mtaji na hiyo ndio sadaka ya kupata hifadhi nje ya nchi,diplomatic passport n.k
 
Leo tarehe 16 Aug 2025 bado siku 73 ufanyike uchaguzi na ukweli mchungu Ccm itashinda na huo ndyo mwisho wa No reform no election Lisu atakuja na misamiati yake ya hatutambui serikali na pia yaweza kuwa mwisho wa Chadema kwenye ulingo wa siasa za Tz.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe, JAPO MCHUNGU.

watz sisi ni manyang'au mnooo
 
We unafahamu hii ishu ya Lissu imeongeza nini kwenye consciousness ya watu?
SIyo lazima watu wakapigane au wakajae mahakamani ila kuna kitu positive imeendelea kuwaingia Jamii ya Misukule ya Taifa..
People are not robots..
Watawala inabidi iwaheshimu sana Jamii ya Misukule ya Taifa..maana pamoja na purukushani zote still watu wanaangalia,,, ilitakiwa watuogope ila wanajisahau maana hawajui wapi hili puto wanalolijaza litapasukia...
Siye siyo kama Wakenya ambao ni kama mbwa koko kazi kubweka hata visivyobwekewa..
Halafu nyie mkiulizwa mmefanya nini, mnajifanya neutral hamna upande kwasababu hamna la kufanya..
 
Hili nimeshalisema katika Uzi wangu uliopita , nashukuru umeliona pia
 
Nyuma ya Lissu wamejaa Nyumbu waoga wanaoweza kukimbizwa hata na kitoto cha Nyau, nimewaambia tuandamane kwaajili ya kamanda Lissu wanasema eti Lissu kazoea gereza , wakati Lissu mahakamani anasema Gerezani siyo kuzuri, hawa nyumbu walio nyuma ya Lissu ni wanafki watupu mwingine kakimbilia Canada sahivi.
 
We unafahamu hii ishu ya Lissu imeongeza nini kwenye consciousness ya watu?
SIyo lazima watu wakapigane au wakajae mahakamani ila kuna kitu positive imeendelea kuwaingia Jamii ya Misukule ya Taifa..
People are not robots..
Watawala inabidi iwaheshimu sana Jamii ya Misukule ya Taifa..maana pamoja na purukushani zote still watu wanaangalia,,, ilitakiwa watuogope ila wanajisahau maana hawajui wapi hili puto wanalolijaza litapasukia...
Siye siyo kama Wakenya ambao ni kama mbwa koko kazi kubweka hata visivyobwekewa..
Halafu nyie mkiulizwa mmefanya nini, mnajifanya neutral hamna upande kwasababu hamna la kufanya..
Huwezi ogopa kinyago kisicho tisha hicho ni pambo la ndani
 
Mkuu wengine mipango yetu huyajui dhidi ya viongozi wasiyotenda haki.
Hivi unadhani kifo cha M ilikuwa natural death? Au kifo cha S ilikuwa natural death.
Wasiyotenda haki wengine wanayo namna ya kudeal nao kwa muda mwingine...
Usiyoyajua bora ungetulia tuli. Ofisi ya Bunge wasiendelee kutangaza tenda ki boya vile..
Niishie hapa.
Lissu anapaswa kufahamu hii nchi imejaa keyboard warriors wengi fuuuuuuuuk
 
Back
Top Bottom