Lissu apata dhamana Polisi. Anatuhumiwa kwa uchochezi unaoweza kusababisha machafuko ya kidini

Muislam kula nguruwe ni haramu ndiyo....hakuna uchochezi wa kidini hapo. Ungekuwepo waislam wenyewe wangesema.

Tangu lini serikali ikawasemea waislamu?
 
That during Zanzibar independence you altered words...............Gamalieli alisema "kama hichi kitu ni cha Mungu kitadumu ila kama ni cha binadamu kitakufa"
 
Nilichojifunza hawamu hii chochote kile ni central tu ila tuwe wakweli Kuna raisi ambaye amesemwavibaya kama Obama au Jk sasa awamu hii atakiiwa umelewa ukafkgvjdkffjdjfjdd unajikutapo Central au mahakamani na no dhamana
Sa si utulie ndo uandike mkuu!
 
Ametuhumiwa kuongea lugha ya Uchochezi inayoweza kuleta machafuko ya kidini. Anatuhumiwa akiwa Zanzibar alisema uchaguzi wa marudio ulikuwa haramu kama Mwislam kula Nguruwe. Amedhaminiwa na Mawakili Hekima Mwasipu na Nashoni Nkungu, ataenda tena polisi tarehe 13 Machi.

Shtaka
That during by election in Zanzibar which was held couples of months ago he uttered words which were likely to provoke the religious feelings contrary to section 129 penal code!
Kosa January, kukamatwa March .................. sasa kama vurugu za kidini si singeshatokea!!?

I wonder issue zile kama za kuchinja nyama wakati wa JK, na yale ya Mwembechai kama yatatokea awamu hii sijui kama wataweza kuyahandle!!
 
Shtaka
That during by election in Zanzibar which was held couples of months ago he uttered words which were likely to provoke the religious feelings contrary to section 129 penal code!
couples of months have passed and no sign of provoked religious feelings.
Labda zitengenezwe sasa.
Ukisikia alivyojenga hoja kwenye hiyo video utagundua kuwa hakuna provocation kama hiyo
 
Kwani ni uhongo kuwa muislam kula nguruwe ni haramu?.
Hata mtoto wa std 4 ukimuuliza atakuambia kuwa waislam kula nguruwe ni haramu na hata msabato pia atakuambia kua ni haramu na kujitia unajisi.
Kama walomshika hawaamini quran tukufu basi wasome biblia takatifu kitabu cha kutoka 20 yote ili wapate maarifa
 
kipindi chote hicho mbona waislamu hawajaleta machafuko?. waislamu ni wavumilivu sana sidhani kama wanaweza kuleta machafuko . Mbona hawajaleta kipindi chote hiki ambacho masheikh wao wako rumande?. Hiyo terehe 13 akienda wanaweza kufuta dhamana yake ili uchaguzi wa 17 umkose.
 
Kwani ni uhongo kuwa muislam kula nguruwe ni haramu?.
Hata mtoto wa std 4 ukimuuliza atakuambia kuwa waislam kula nguruwe ni haramu na hata msabato pia atakuambia kua ni haramu na kujitia unajisi.
Kama walomshika hawaamini quran tukufu basi wasome biblia takatifu kitabu cha kutoka 20 yote ili wapate maarifa
 
Kweli poli ccm wamepoteza dira! Kama huo uvunjifu wa amani si ungeshatokea kipindi hicho ? Mwaka mzima umepita wanasema sasa? Aliewatuma hana busara na wao pia wako kama ma robots!!!
Mamlaka ya uteuzi ndo nyenye shida!
 
Ametuhumiwa kuongea lugha ya Uchochezi inayoweza kuleta machafuko ya kidini. Anatuhumiwa akiwa Zanzibar alisema uchaguzi wa marudio ulikuwa haramu kama Mwislam kula Nguruwe. Amedhaminiwa na Mawakili Hekima Mwasipu na Nashoni Nkungu, ataenda tena polisi tarehe 13 Machi.

Shtaka
That during by election in Zanzibar which was held couples of months ago he uttered words which were likely to provoke the religious feelings contrary to section 129 penal code!
Tena? Hivi hawamtaki kujifunza?
 
Back
Top Bottom