Kwanini na yeye adanganyike wakati ana akili zake timamu?
Bwana Paschal, siamini kabisa katika hilo, mimi nachojua ni kwamba Samia hana kabisa uchungu na taifa hili la watanganyika na kwa bahati mbaya sana amezungukwa na opportunists, na yeye kwa kulitambua hilo ameamua kushirikiana na hao waloho kulifilisi kabisa hili taifa.... huku kazi kubwa ya opportunists hao ni kumuhakikishia usalama wake asibugudhiwe na ndio hao anaowatume kufanya uharamia wote huu.