Lissu aondoke nchini

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,639
Hiyo ni dili. Lissu aondoke nchini. With all due respect, Chadema, what is wrong with that? Lissu aondoke, Chadema ibadilishe mgombea urais.

CCM wanataka Lissu aondoke. Sijui kwa nini wanataka Lissu aondoke. Lakini wanataka Lissu aondoke. Kama ina maana Chadema watarudi kwenye Uchaguzi,hilo nadhani ni wazo zuri.

Anayekataa pazuri,pabaya panamuita.

Time is running out fast. Chadema wafanye uamuzi kuhusu hili.

It is like when Moses rested and Joshua sent the people across the Jordan.
 
Unadhani shida ni Lissu? Next will be Heche, Polepole, Gwajima, Bashiru n.k na wakiisha hata wewe utafikiwa tu. Tusiweke precedence mbaya maana itakua utamaduni kwamba uchaguzi ukikaribia tunakupa kesi ya uhaini alafu tunakuachia unaenda uhamishoni.
 
Hiyo offer apewe Lema atakimbia nchi bila kuangalia nyuma maana ana madeni mengi sana, na michango ya tonetone kaipiga
 
Kwani Lissu angekubali halafu akagoma kuondoka baada ya kufika nyumbani nini kingetokea?
 
Tupe sababu ya yeye kuondoka?
 
CHADEMA haikusaini kanuni za maadili ambalo ni takwa la kisheria hivyo HAWAWEZI kushiriki.

Unless unaongelea uchaguzi wa 203p lakini kwa 2025 tulikwishafunga mjadala.
 
Sorry, huo utakuwa ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…