Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Unamuamini huyu ex stage show MwiguluItakuwa ndio mwisho wa kifo cha chadema na upinzani kwa ujumla.
Ingawa ulichoandika hakiwiani na hali halisi tunahitaji upinzani imaraNdugu zangu,
Pamoja na Mbowe kumpa Lissu U-Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ili kumzuia asiende ACT Wazalendo lakini sasa mambo ni mazito kwani Lissu sasa anaonekana kutaka kufanya siasa na Zitto.
Mara kadhaa Tundu amesisitia kuachia madaraka kitu ambacho kinampasua kichwa Mbowe, Chadema wameteua Prof.Baregu ili ajaribu kumsihi Lissu asichukue maamuzi hayo sasa ili kukinusuru chama.
Tuwe na subira ila moto unawaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaficha uchiHawataki tu kusema Chadema kunawaka moto ! Sasa vikao vya kamati kuu vinafanyika nchi za nje just to make sure Lisu anahudhuria asije wakimbia! IPO kazi asee !
Nasikia TL anaondoka anaenda eti kwa Kabwe, π π π π π π π ama kweli dunia inamamboNdugu zangu,
Pamoja na Mbowe kumpa Lissu U-Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ili kumzuia asiende ACT Wazalendo lakini sasa mambo ni mazito kwani Lissu sasa anaonekana kutaka kufanya siasa na Zitto.
Mara kadhaa Tundu amesisitia kuachia madaraka kitu ambacho kinampasua kichwa Mbowe, Chadema wameteua Prof.Baregu ili ajaribu kumsihi Lissu asichukue maamuzi hayo sasa ili kukinusuru chama.
Tuwe na subira ila moto unawaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jenga hoja acha kulialiaIla Mbowe ni kiboko! Sijui alimfanya nini huyu mwakilishi wa Songwe! Lazima sio cha kawaida maana Siku mbili zipite hajamtungia Uzi labda awe labor ana shusha, lakini hata akiwa ndani ya mjengo lazima aruke naye kwa jambo la kutunga
Sent using Jamii Forums mobile app