Hata kama wabunge wa CCM hawata support hoja hiyo lakini for the sake of the record itakuwa imeingia kwenyea HANSARD za bunge na vizazi vijavyo vitaweza kufanya reference ya udhaifu wa serikali ya CCM na ulegelege wa wabunge wa CCM.
Kumbe CJ wetu ame forge umri wake wa kuzaliwa? Alizaliwa September 4, 1949!? He must step down. Kosa la kuchakachua UMRI ni kosa la JINAI na adhabu yake ni kwenda behind bars.
I might be wrong lakini nafikiri aliyemsaidia kunyofoa nyaraka zake UDSM ni Prof. Paramagamba Kabudi, huyu Prof ndiye mkuu wa KITIVO cha Sheria na GAMBA kama jina lake.