Lissu amshukia Lowassa

Huyu lisu nae ni mnafik haioni chadema nayo ilivyojaa wachungaji . Chukua mfano dr slaa huyu ni ana doctorine ya theologia . Ungozi wao wote top level ni hao hao asimlaumu wakat chadema ipo kikanda na viongoz wao pia ni wakristo wote

AKILI INA YTD DOWNLOADER naona umeweka pause. mafile hayashuki
 
Hivi dingi wako bado ana hasira na Lowasa kwa ile ishu ya wajepu?
 
Lisu naye atulie akiendelea kumzungumza EL tunamwona mpuuzi kcihizi yaani
 
Lissu yupo sahihi kabxa, udini haufai kabxa...na kw maon yangu Lowasa ni mabaki ya kina Balali na 'mjomba' hafai kuwa kiongozi wa tz, 2ache siasa na ushabiki tuambiane ukwel 2.
 
Lissu yupo sahihi kabxa, udini haufai kabxa...na kw maon yangu Lowasa ni mabaki ya kina Balali na 'mjomba' hafai kuwa kiongozi wa tz, 2ache siasa na ushabiki tuambiane ukwel 2.

Leo CCM wamedhihirisha hilo.
 
Nahitaji kujua msimamo wa Lissu juu ya Lowasa
 
Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…