Lissu amkaba Shahidi wa Jamhuri Mahakamani, ahoji elimu yake ya 'Mafriji' kasomea wapi

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
440
Reaction score
3,211
Kumsikiliza Lissu akiwasulubu mashahidi wa mchongo wa Jamhuri ni jambo la kufurahisha sana.

Leo kamkaba shahidi wa pili kuhusu elimu yake ya kuunga unga kwenye kesi yake ya Ugaidi.

Ni polisi, mtaalamu wa cyber ila kasomea kutengeneza mafriji.
1000479930.jpg
 
View attachment 3488221

Hili jeshi la police ni TATIZO.

Yaani mtu ambaye hakufika hata form Six anasomea kutengeneza Mafriji na AC leo ndiyo inakuwa Inspector wa kuhandle kesi kubwa kama hii. Sasa hao ambao wanahandle kesi ndogo ndogo watakuwa na uwezogani....!!?

By the way, hivi vigezo vy mtu kufanya LLB Open University ni vipi....!!? Inakuwaje mtu aliyefail form four anainingia Open University na kusomea Sheria....!!?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Watu walishakujua
Wewe hauna madhara yoyote yale.
 
Kumsikiliza Lissu akiwasulubu mashahidi wa mchongo wa Jamhuri ni jambo la kufurahisha sana.

Leo kamkaba shahidi wa pili kuhusu elimu yake ya kuunga unga kwenye kesi yake ya Ugaidi.

Ni polisi, mtaalamu wa cyber ila kasomea kutengeneza mafriji.
View attachment 3488221
"A Bachelor's degree in Refrigeration and Air Conditioning (RAC) Technologies Engineering provides a comprehensive education in the design, installation, maintenance, and repair of climate control systems"
 
Back
Top Bottom