Lissu amerudi, dereva wake kulikoni?

Lissu amerudi, dereva wake kulikoni?

CCTV huwa inahojiwa?
Iko siku kundi fulani lotaaibika sana humu nchini...

..kwani Polisi kumhoji dereva wa Lissu ni lazima aje Tanzania?

..au hata kumkamata kama alihusika ni lazima awepo Tanzania?

..mbona kwenye matukio mengine Polisi wameshirikiana na interpol au vyombo vya nchi za nje?

..zama hizi za kidigitali CCTV ni chombo muhimu sana ktk kukusanya ushahi wa matukio ya uhalifu. Kwanini Polisi hawawataji au kuwakamata walioonekana kwenye CCTV?

..kwanini kwenye tukio hilo mnataka kuwadanganya wananchi waziwazi?
 
Hii sio hoja,... zako,jibuni hoja,mengine ndio tunajua mbavyotukana.
Ila ukweli huwa unadumu muda mrefu.
Iko siku mtaaibika,kama hii ni inside Job yenu.
Kama chama chenu kilivyoo muua kolimba, kasimu hanga,Lwabaje na wengine wengi
 
Yule Dereva,alikimbia na Lissu,ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo.
Ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye!

Sio Lissu,wala Chadema officials yoyote,ambae huwa anagusia kuhusu yule Dereva wa Lissu siku ya tukio la kushambuliwa Lissu!

Kuna nini na huyu dereva wa Lissu?
Iweje yeye anafichwa kuliko mhanga wa tukio lenyewe?

Kama Lissu amegakik8shiwa usalama wake,iweje dereva aendelee kuwa mafichoni??

Sijawahi kumsikia Lissu k
Akiongea au kumtaja dereva wake,popote pale!

Iwe interviews za nje ya nchi wala Hotuba zake majukwaani!

Na Chadema mnakuwaga wakali kweli akitajwa huyo Dereva!

Nauliza tu...na tutaendelea kuhoji kila penye utata!


Alamsikhi.
10101.
Footage zote za tukio ziko kwenye savers, zilirekodiwa kwenye CCTV Cameras na polisi wanazo kwani wao ndiyo walihakikisha polisi wa zamu pamoja na G4 security guards wasiwepo muda ule wa shambulio.
Wasingekuwa na hizo footages za tukio ungewasikia kwenye press conferences zao wakilizungumzia hilo kwani hata wezi wa kuku na wakwapua simu huwa wanawaitia press conference.
Serikali inalinda Mwendakuzimu asiaibishwe kwani wale walenga shabaha uchwara wakikamatwa na kubinywa pumbu wataropoka kila kitu.
Jiulize aliyezuia asiombewe alipokuwa mahututi au aliyezuia T-shirts za 'Get well soon Lissu' zisivaliwe au aliyesema Lissu ni mtoro bungeni(of course alisema kupitia sub woofer wake)hivyo hastahili marupurupu yake(ambapo serikali ya sasa imemlipa) ni kitu gani kilimsababisha ayafanye yote hayo.
Polisi hawana shida naye kwani wanajua kila lililojiri bali wanamstiri muhusika mkuu na kuilinda taasisi ya uraisi.
Hata Lissu na bodyguard wake wangekufa kwenye lile shambulio kama kulikuwa na nia ya kumkamata muhusika angekamatwa tu kwani ushahidi wa picha huwa hauhitaji maelezo zaidi(a picture speaks thousand words), yaani hapo ni kutoa hizo footages mitandaoni na kuweka heading WANTED basi mchezo umekwisha.
 
..kwani Polisi kumhoji dereva wa Lissu ni lazima aje Tanzania?

..au hata kumkamata kama alihusika ni lazima awepo Tanzania?

..mbona kwenye matukio mengine Polisi wameshirikiana na interpol au vyombo vya nchi za nje?

..zama hizi za kidigitali CCTV ni chombo muhimu sana ktk kukusanya ushahi wa matukio ya uhalifu. Kwanini Polisi hawawataji au kuwakamata walioonekana kwenye CCTV?

..kwanini kwenye tukio hilo mnataka kuwadanganya wananchi waziwazi?
Hana akili huyo, anadhani yuko Instagram. Kama kweli polisi wangekuwa na shida naye kwani kwa kupitia CCTV cameras footages wanajua kila kilichotokea hivyo wangeshatumia INTERPOL na jamaa angerudishwa Bongo kirahisi kabisa.
Screenshot_20230125-232755.jpg
 
Kuna jamaa hapa anadai hata kifo cha jiwe ni tukio la kutengeneza. Ila jamaa kuna sehemu yupo.
Kajichimbia kwao Burundi, tukio la kutengezwa lile. Wamezika mgomba pale kama huamini nenda ukafukue uhakikishe.
 
Kwahiyo mkuu, wewe unajua umuhimu wa huyo dereva na unatamani haki ipatikane kuliko mhanga wa tukio husika ambaye pia ni mwanasheria mkongwe?
Mimi ninataka ukweli ujulikane,mwenye kudai haki yake ni muhanga wa tukio la shambulizi.
Kwa hiyo ili kuondoa makando kando,vema haya yangetimizwa!
 
Mimi ninataka ukweli ujulikane,mwenye kudai haki yake ni muhanga wa tukio la shambulizi.
Kwa hiyo ili kuondoa makando kando,vema haya yangetimizwa!

Kipi kilichokufanya udhani dereva anajua ukweli?
 
Yule Dereva alikimbia na Lissu ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye!

Siyo Lissu wala Chadema officials yoyote ambae huwa anagusia kuhusu yule Dereva wa Lissu siku ya tukio la kushambuliwa Lissu!

Kuna nini na huyu dereva wa Lissu? Iweje yeye anafichwa kuliko mhanga wa tukio lenyewe?

Kama Lissu amegakikishiwa usalama wake, iweje dereva aendelee kuwa mafichoni??

Sijawahi kumsikia Lissu akiongea au kumtaja dereva wake popote pale iwe interviews za nje ya nchi wala hotuba zake majukwaani! Na Chadema mnakuwaga wakali kweli akitajwa huyo Dereva.

Nauliza tu na tutaendelea kuhoji kila penye utata.


Alamsikhi.
10101.
Nyie masalia ya marehemu mwaka huu lazima mrukwe akili. Tunawacheka kwa dharauuuuu!!!
 
Yule Dereva alikimbia na Lissu ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye!

Siyo Lissu wala Chadema officials yoyote ambae huwa anagusia kuhusu yule Dereva wa Lissu siku ya tukio la kushambuliwa Lissu!

Kuna nini na huyu dereva wa Lissu? Iweje yeye anafichwa kuliko mhanga wa tukio lenyewe?

Kama Lissu amegakikishiwa usalama wake, iweje dereva aendelee kuwa mafichoni??

Sijawahi kumsikia Lissu akiongea au kumtaja dereva wake popote pale iwe interviews za nje ya nchi wala hotuba zake majukwaani! Na Chadema mnakuwaga wakali kweli akitajwa huyo Dereva.

Nauliza tu na tutaendelea kuhoji kila penye utata.


Alamsikhi.
10101.
KAMCHUKUE ULIPOMUACHA
 
Back
Top Bottom