Lissu alamba sumu kwa miguu

Lissu alamba sumu kwa miguu

makwagejo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
361
Reaction score
268
2015 tukiwa tumsubiri mgombea urais CHADEMA Lissu alikuja Geita kutoa semina za uchaguzi na kuseminisha namna uchaguzi utakavyokuwa kabla ya mwali wa ukawa hajatoka tupo katika uchaguzi wa wagombea wa ndani wakati huo mimi nikiwa mwenezi sehemu furani wa vijana.

Alisema hivi:

"Kiongozi asiyefaa akatafuta uongozi kwa njia zisizofaa hashindi uongozi, kiongozi anayefaa akatumia njia zisizofaa kutafuta uongozi pia hashindi uongozi, kiongozi anayefaa akatumia njia zinazofaa hushinda uongozi bila makundi wa kusambaratisha chama,"

Lissu alibeba dhamana kubwa ya kuseminisha vijana kabla ya uchaguzi na wakati huo hapakuwa na ruzuku ya kutosha kabla ilivyotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mbowe hakuseminisha kabisa akawafanya wagombea wake kuwa na sifa ya kusoma na kuandika kama CCM bila kujua mtego mkuu wa hiyo hoja ya kikatiba Mbowe akabana fedha matokeo yake ni ushindi wa CCM asilimia 99%~

Lissu najua utapita Umakamu Mwenyekiti najua utakuwa unalamba sumu kwa miguu yako mwenyewe bila kujua na utajikuta imetafuna kiuno chote.

Ikiwezeka kuanzisha chama chako cha kisiasa kipya cha Central Singida Democratic Force kama chama cha ukanda cha Mbowe.

Maana najua wakati Mbowe amekaa kimya wewe ulikuwa na kamdomo hukujua watu wameacha ajenda ya kuhangaika na wananchi bali wanalipana madeni na kula bata kutumia fedha za ruzuku.

Lissu alisema katika semina kuwa tunataka wasimamizi wa uchaguzi ambae ni mbishi hajawahi kushindwa kwa ubishi katika maisha na ukibishana nae mara moja yapili amefikisha kofi.

Watu wakacheka kwa hiyo muasisi wa vurugu na figisu za kisiasa katika nchi hii alienza na wakwanza kabisa ni Lisu kwa hiyo najua kabisa kitakachotokea Chadema sio mnyukano kati ya CCM na Chadema isipo kuwa Mbowe na Lissu, tayari hapo utaona nani atajaribu sumu kwa ulimi au miguu,

Mwisho Mbowe hastahili kabisa kuchukua Uenyekiti amesaliti watu wengi wakiwemo Zitto, Wangwe na wengine waliotaka ueenyekiti. Ila kwa Zitto naye alitaka kuonja sumu kwa ulimi akaionja kwa pua huyo akaruka ACT Wazalendo.

WATANZANIA TWAPENDEZA, TWAPENDEZA, USIJARIBU KUONJA SUMU KWA ULIMI ONJA KWA MIGUU.
 
Kwa uandishi huu hata Mazezeta hapo Lumumba watakushtukia na sijui kama watakupa hata hizo buku 7
 
Tindu lissu atakuwa mbeba mabegi wa mafiosoo Mbowe
Wewe Jamaa huwa unahangaika sana,umeanzisha thread kwa Id nyingine na umechangia kwa Id nyingine.Mbona ccm mnanyimwa usingizi na Chadema kulikoni?
 
Jamani laleli Chadema itawatia wehu waacheni na Uchaguzi wao au kachukueni Fomu muweke mgombea wenu du mpaka inakera
 
Aisee mnateseka sana, tatizo ni nini? mbona mnaumia sana?
 
Mimi nilidhani ni mwanachadema aliyeandika kumbe ni zezeta lá lumumba akisapotiwa ni mashoga wenzake.
 
Mimi nilidhani ni mwanachadema aliyeandika kumbe ni zezeta lá lumumba akisapotiwa ni mashoga wenzake.
sawa mm ni zezeta kawaida huwa mnamatusi mnaposhauriwa mmbaki kuzezeteka huwezi kuwa na uvumilivu wa kisiasa toka humu ndani,shoga baba yako,
 
Wewe Jamaa huwa unahangaika sana,umeanzisha thread kwa Id nyingine na umechangia kwa Id nyingine.Mbona ccm mnanyimwa usingizi na Chadema kulikoni?
tunalala mpaka tunajikojolea,hatutalala kama kuna tetemeko na natural hazard lakini vinginevyo mtaishia jela
 
Back
Top Bottom