GE2025 Lissu akataa kujibu kuhusu kesi yake ya uhaini

GE2025 Lissu akataa kujibu kuhusu kesi yake ya uhaini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini baada ya mapingamizi yake kutupwa na Mahakama, Mahakama ikataka kumsomea mashitaka yake ili ajibu ndio au hapana lakini Lissu akaibua hoja za kueleza na kufafanua kuhusu kosa la uhaini pamoja na matamshi yake aliyoyatoa.

 
Lissu ni akili kubwa sana. Mawakili na Majaji kila mbinu wanayoipanga ili kumuingiza kwenye mtego, Mwamba anakuwa ameshawatangulia kitambo tu.
 
Back
Top Bottom