Lissu abanwa kwa maswali. Abaki kuhangaika hangaika na kuwasingizia wasiohusika

Kwa kifupi maongezi ya Lissu na Redio Tehran yalikuwa na maudhui yafuatayo:

1. Kakanusha kuwa CDM hawahusiki na kupanga njama za kuteka na kuua
2. Asema ni kutapatapa tu kwa Nchemba baada ya kugundua kuwa kila kitu kumuhusu kimegundulika.
3. Kasema kuwa hata ushahidi huo ambao Nchemba anao ni wa kutengeneza.
4. Yeye na mawakili wengine wataiomba mahakama imuamuru mahakamani na kuthibitisha huo ushahidi.
 
  1. ..... Naomba CV ya Prof. Maji Marefu na Livingstone Lusinde tafadhali....
  2. ........Jana Mh. Rais alihudhuria mazishi ya Bi Kidude Zanzibar R. I. P. Bi Kidudde
  3. .........Stars iko nafasi ya ngapi katika viwango vya FIFA kwa sasa ?
 
Kwa kichwa cha habari kilivyo, umeshahukumu Taarifa ya wachawi inawahusu wachawi tu wengine wasio wachawi hawana uwezo. Lete Taarifa nyingine.

Mkuu Mimibaba huyo ni mmoja wa walewawale wa LUMUMBA PROJECT
 
Last edited by a moderator:
hivi ww una sifa gani kushindani na LIsu anayeheshimia Tangu enzi za awamu ya pili ya Urais? nakushangaa sana maana kama huna haja iko karibu
 
na huu uzi na wako tena?na huku upo tena?...umejirekodi halafu unarusha..nenda kale posho lumumba.
 
Back
Top Bottom