JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (CHADEMA), amewataka vijana ambao ni wasomi kuacha woga na badala yake wafanye mapambano ya kimageuzi katika kutafuta haki pamoja na kulinda rasilimali za nchi.
Akizugunza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuwajengea msimamo wa kisiasa, alisema wanafunzi wamekuwa wakitishwa na viongozi walio madarakani kwa madai kuwa vyama vya upinzani vinasababisha uvunjifu wa amani nchini, jambo ambalo alisema ni uzushi wa kisiasa.
Alisema ili Tanzania iweze kuwa na maendeleo ya kweli, ni lazima vijana kuhakikisha wanasimamia maamuzi ambayo ni ya kweli katika kutetea maslahi ya rasilimali ambazo zinatumiwa vibaya na viongozi walio serikalini.
Mbunge huyo aliwataka wanafunzi ambao wanatafuta ukombozi wa nchi yao watambue kuwa suala la kutafuta ukombozi na mabadiliko ya nchi si lelemama, bali unatakiwa ujasiri wa hali ya juu.
Katika mkutano huo pia Lissu amechoma kadi 35 za wanachuo ambao walikuwa wanachama Chama cha Mapinduzi (CCM) ambao wamejiunga na CHADEMA
Pamoja na kwamba napenda mageuzi, lakini naogopa namna ya baadhi ya kauli za viongozi wetu zitakavyotafsiriwa na walengwa hasa wanafunzi
we need some serious thinking here
then you missed my point big time...Bwana Politics is not for the faint-hearted. Hakuna anayeleta fujo ni kusimama kidete katika mambo ambayo unayaamini. Docility cannot take us anywhere.
Ukipita tu na kushauri usiandike chochote! Ukombozi ukaribu yako funguka acha kupita tu!! Viva cdm!! Viva lissu!!Napita tu
haya bwana, pia sio njia sahihi ya kuelewekathen you missed my point big time...
Thanks
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (CHADEMA), amewataka vijana ambao ni wasomi kuacha woga na badala yake wafanye mapambano ya kimageuzi katika kutafuta haki pamoja na kulinda rasilimali za nchi.
Akizugunza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuwajengea msimamo wa kisiasa, alisema wanafunzi wamekuwa wakitishwa na viongozi walio madarakani kwa madai kuwa vyama vya upinzani vinasababisha uvunjifu wa amani nchini, jambo ambalo alisema ni uzushi wa kisiasa.
Alisema ili Tanzania iweze kuwa na maendeleo ya kweli, ni lazima vijana kuhakikisha wanasimamia maamuzi ambayo ni ya kweli katika kutetea maslahi ya rasilimali ambazo zinatumiwa vibaya na viongozi walio serikalini.
Mbunge huyo aliwataka wanafunzi ambao wanatafuta ukombozi wa nchi yao watambue kuwa suala la kutafuta ukombozi na mabadiliko ya nchi si lelemama, bali unatakiwa ujasiri wa hali ya juu.
Katika mkutano huo pia Lissu amechoma kadi 35 za wanachuo ambao walikuwa wanachama Chama cha Mapinduzi (CCM) ambao wamejiunga na CHADEMA
Ukweli ni kwamba chadema ndio wanaoleta vurugu vyuoni.kwanini kama kweli wanawapenda hao vijana kwa nini wasiwafundishe kukaa kwa amani hapo chuo?.hivi kweli cdm mnawajenga hawa vijana au mnawatumia kukidhi haja zenu za kisiasa?.Kama kweli mnawajenga kwa nini msiwasaidie kutatua migogoro yao kwa njia ya amani kuliko mnavyowachochea wakafanya vurugu na kufukuzwa vyuoni na wakaenda kutaabika mitaani?
Hata mimi namshangaaa! huyo ndio walewale magamba!we takataka mtahengerwa sijui kama umeisoma vyuo vikuu na kama ulisoma hamkuwahi kugoma,lazima mliwahi je chadema ndo waliowafanya mgome?kinachowafanya wanafunzi wagome ni kutokupata haki zao za msingi...unataka wakae kwa amani wakiwa na njaa...serikali itimize wajibu wake hutaona migomo....