Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Hii ni kuonyesha dhahiri yale ambayo wengi wanakumbana nayo
Wewe ulielewa hivyo lakini yeye hakumaanisha hivyo ulivyoelewa!Lakini hajasema atakayekuja kumdhamini naye awekwe ndani.kutetea maana yake fasaha ni kumsaidia, kumficha, kuiingilia, mamlaka inayohusika kuishawishi ili isimtie hatiani,kuharibu ushahidi kwa lengo makusudi,mimi nilielewa hivyo.
Hivi umepiga Mswaki kabla ya kuandikaWewe ni hewa nafikiri.T.L hata kama akichaguliwa hawezi kuwa jaji mkuu wa TZ au mwanasheria mkuu wa serikali ebo!!!atabaki hivyo ila nahofia kufa kwa chama hicho cha TLS na CDM kwa pamoja.
Kisukule mama ya Lumumba...bado hujapewa ile buku 7 ukanywe chai?Avatar na unayoandika asubuhi hii inathibitisha WEWE ni either ni mbwia MADAWA YA KULEVYA au MNYWA VIROBA ASUBUI KUPATA MZUKA......
Walimwambia a confess watamuachia kumbe wanamuingiza kingi.Una mtetea vipi WEMA ili hali ali CONFESS mwenyewe????
Kuna sample za kesi nyingi na wewe bora umetoa moja hii inayoeleweka kwa wengi wetu.Mkuu,umeiona hoja yangu. Hongera!
Mm nashangaa sana kwa mkulu kusema mtu akikutwa na kitu haramu awekwe ndan hata kama mtetez wake nae awekwe hivi kwa stail hii ya kubambikiwa kesi siwataenda wasio na hatia?
Imekuwa ikisemwa sana kuwa wapo askari polisi wasio waaminifu wanaowabambikia wananchi kesi kwa lengo la kuwaomba rushwa au kuwakandamiza. Ndiyo maana,sisi Mawakili hujitokeza kuwatetea watuhumiwa kwakuwa si wote waliotenda kweli
Huko mkoani Arusha,askari polisi mmoja amekamatwa kwa kuwabambikia wananchi madawa ya kulevya kama bangi kwa lengo la kuomba rushwa. Askari huyo aliyekamatwa,kwa mujibu wa ITV Habari,ni kielelezo na uthibitisho kuwa kubambika kesi kupo
Kimsingi,kutaja au kuhoji au hata kushtaki mwananchi kwa tuhuma fulani si mwisho wa mambo. Ni mwanzo tu unaoficha mambo mbalimbali yakiwemo ya watu kusingiziwa kesi au vizibiti. Ndiyo maana, ipo haja ya kuwa makini na kesi za wananchi na kuacha mapambano ya kimahakama yaseme na kutenda haki.
muulize manji bora ya wema...Masikini Wema Sepetu akasumbuliwa buuure.
Nchi ya viongozi wanaoongozwa na SIFA ZA KIJINGA
Sijui tunaenda wapi?Kwa jumla Watanzania tunapaswa kumwomba Mungu atusaidie. Wakuu wameamua kuipa busara likizo na hivyo kuupa wazimu fursa ya kutangulia mbele. Ni hatari kubwa.
Mi hata cielewiiDOFFA: Kwani wewe unapenda CDM isife? Kweli?
Wewe ulivyomuelewa, na wengine walivyoelewa wote mko sawa mpaka hapo yeye atakapotoa ufafanuzi akitaka, huna uhalali wa kukataa uelewa wa yule.Lakini hajasema atakayekuja kumdhamini naye awekwe ndani.kutetea maana yake fasaha ni kumsaidia, kumficha, kuiingilia, mamlaka inayohusika kuishawishi ili isimtie hatiani,kuharibu ushahidi kwa lengo makusudi,mimi nilielewa hivyo.