Lira Galore: Stripper aliyeuteka moyo wa Drake

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,784
5,286
Lira Galore(20) kutoka houston kwa sasa ni video vixen,model na actress,ndie stripper aliyeweza kuuteka moyo wa mwana hip-hop kutoka young money,Drake.

Kumezuka mtindo wa Ma-strippers wengi sana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanamuziki wakati wakiwa wanafanya shooting za dirty version then wanaenda mbali ya hapo.

Mastrippers wengine ambao wana uhusiano na ma-star wa marekani yupo Maliah Michel ambaye anatembea na mchezaji wa basketball NBA,yupo stripper Blac Chyna ambaye anatembea na Tyga,yupo Crystal Renay ambaye anatembea na Ne-yo,strippers wengine ni Miracle watts and Jhonnie blaze.

Kwa Tanzania Top Video queens wanaotingisha ni Agnes Gerald(Masogange),Giggy Money,Tunda Sabasita etc.

LG.jpg
Lira Galore akichukue selfie.

LG1.jpg
Lira Galore akikaangiza maakuli.

LG4.jpg
Lira Galore akiwa kwenye mtoko weekend.

Video Vixen.jpg
Lira Garole(First) akiwa na marafiki zake Black Chyna na Miracle Watts.
 
Halafu mbona kafupi sana? Si kanamfikia drake mbavuni??

Ila ana kishuzi kitamu
 
Rick Ross anasa kwa Lira Garole

Baada ya miezi mitano ya kuwa kama mtu na mpenzi wake sasa mwanamuziki Rick Ross, ameonesha nia thabiti ya kutaka kufanya mageuzi katika penzi lao kwa mwanamitindo na Video Qeen nchini Marekani, Lira Galore.

Rick Ross, anadaiwa kufanya uamuzi wa kumvisha pete ya uchumba kimwana huyo, ambaye kipindi cha nyuma inasemekana kwamba alishawahi kuwa kimapenzi na mwanamuziki Drake.

Siku za hivi karibuni Rick Ross, amekuwa akionekana katika viwanja mbalimbali vya starehe na kimwana huyo huku mashabiki wakidai huenda Rick Riss, akawa anawazia suala la ndoa jambo ambalo wanatamani litokea baada ya hatua ya sasa.
 
Back
Top Bottom