mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,296
- 137,856
Kuna siku nlikuwa mitaa ya kko
Nkaona jamaa wanatangaza, wanasema wanaweka hiyo liquid protector wanasema Sim haipati scratch sjui Sim ikianguka haivunjiki
Nkamwambiaaa ehehh waniwekee ila sharti moja wakishaweka ila Vifaa vyao navishika, na Sim naiangusha ikivunjika siwarudishi
Jamaa waligwayaaaa
Nkamwambia kwann wakitangaza wanasema Sim ikianguka haivunjiki, si waitoe hyo kipengele kuliko kuwadanganyaa watu....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app