Liquid protector ni utapeli

Liquid protector ni utapeli

NYONGEZA:.....

Kila NANO LIQUID ina expire date yake baada ya matumizi.

Nyingi kwa Sasa zilizoko k'koo (hasa za Bei rahisi)

Zina lifetime ya Miezi 6 mpaka mwaka mmoja baada yakubandikwa kwny simu.

(Imeandikwa ndani MANUAL kwny box linalokuja na hizo liquid)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Glass tu mkuu maana iyo Liquid nayo mara expr date mara simu ikianguka iyo Liqud protectr inaweza ikafa na Touch na Screen kwa pamoja manake apo simu ndio kwishney wakat kwenye Glass ikodondoka unabandua tu unaweka nyingine maisha yanaendelea
 
Mimi natumia hydrogen protector. Ni kamfuko flani kanawekwa kwenye screen na kanazuia mikwaruzo na kupunguza uwezekano wa kupasuka.
Miezi nane tokea natumia sijawahi badili maana hata bongo sijaziona. Screen iko safi na haina unene ule unaoongezwa na glass protector ambayo hata hivo siwezi kuweka maana itazuia on screen fingerprint isifanye kazi.
 
Unaweka protector kwenye simu ya nini?

Hasa watu wanaomiliki tecno unakuta wamejaza masimu protector, sijui cover simu inakua nzito balaa na ukizingatia simu za tecno ni nzito basi unakua kama unatembea na jiwe la kilo 1 mfukoni.
 
yalinikuta haya ila nlikosa muda wa kuandika me walinipiga kkoo

walikula elf 8 yangu bure yaani nlijiaminisha kesho simu yangu ikavunjika kioo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau yamenikuta wakati nipo kwenye harakati zangu nikakutana NA jamaa wakisifia skilini protector sinikaingia mkenge wakatoa ile yakioo wakamwagia tumaji wakaweka kwenye mkebe unavitaa taa hivi wakasema tayari hapo hakivunjiki dah!! Nafika home imedondoka kioo kwishaaa kweli jamaa wamenitia hasara nimeona nishee ambao bado hamja weka msijaribu wizi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe haukuwekewa hata protector yenyewe

☆E pluribus unum☆
 
NYONGEZA:.....

Kila NANO LIQUID ina expire date yake baada ya matumizi.

Nyingi kwa Sasa zilizoko k'koo (hasa za Bei rahisi)

Zina lifetime ya Miezi 6 mpaka mwaka mmoja baada yakubandikwa kwny simu.

(Imeandikwa ndani MANUAL kwny box linalokuja na hizo liquid)

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo huwa hatuna muda wa kufuatilia kitu kabla ya kukifanya na kingine huwa hatusomi guidelines zozote zile sisi tunaiga tu alimradi kitu kina mfanano na kingine basi tuna assume vitakuwa sawa .

Hapo ndo tunapofeli mkuu,

Kuna dada aliibandika hii mwezi wa 6 Nairobi,

Mwezi ulopita simu imeanza kutengeneza nyufa yenyewe bila hata kuguswa na chochote.

Kila kukicha nyufa zinaongezeka.

Kreki (nyufa) zilipozidi Sana, kaja nimuuzie glassTouch.

Simu imeingizwa kwny mashine kwa ajili ya kutenganisha LCD na Touch Imeshindikana kabisa.

Ikabid vibanduliwe vyote kwa pamoja.

Ikamlazimu kununua Complete LCD+touch ambavyo Ni ghari zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom