ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
mkuu education should help the society otherwise unfunction. Lipumba amezidiwa na dj kwa kuendeleza ubaguzi wa kidini badala ya kuwaunganisha watanzania! Elimu haijaisaidia sana jamii at large!PROF LIPUMBA VS DISCO JOKER? kweli nyie watu mna akili kweli? mnalinganisha LIPUMBA na DJ? mtu anajitangaza kwa sifa zake, MBOWE ni sawa mavi kupamba maua! hayatapendeza yataendelea kunuka tu.
Imefika mahali sasa hamthamini elimu yetu.Mpaka mnamfananisha Dj na Prof kweli Jf the home of amazing
mkuu sijakuelewa unalinganisha nini hapo? Labda ungesema dj na mwanamitindo, au prof. Na bachelor, or form six na form iv, vinginevyo it is wrong comparisons!DJ vs Prof.:A S 41:
DJ vs Prof.:A S 41:
We una kuwaga wa kwanza kulia watu wako wakikashifiwa!
Mimi Lipumba nilianza kuingiwa na wasiwasi na uprofesa wake pale anapokuwa na poor analysis kwenye issues. Aliwahi kuulizwa kama alikuwa mshauri wa rais Ali itu hassan Mwinyi na je alimshauri nini. Nilitegemea alimshauri kuanzisha labda basic industries au agro processing industries. Lakini yeye huku akiwa emotions akasema ushauri wangu ulikuwa mzuri maana nchi ilikuwa haina rexona lakini tukaanza kuona vitu madukani. Hivi kweli na hilo linahitaji PHD au cheo cha professa kumwambia mtu kwamba fungulia pandora box? You don't need to be a scholar of highest degree maana hata Idd Amini naye aliwahi kufanya hivyo na akawa anaprint hela kwa jinsi akili yake ilivyomtuma. Kwa hiyo kwa kifupi Lipumba kama mshauri hakuwahi kumwambia ruksa walau aendeleze walau viwanda vidogovidogo, alinde vichache vilivyokuwa vinazalisha, afufue vilivyokuwa vimelemewa, nk. Kwake ilikuwa fungua milango, uza kilichopo kinachozalisha mpaka tausi wa ikulu. Nina wasiwasi huenda hata import duty alishauriwa na kina Lipumba isikusanywe. Kina Deodatus Balile wanasema watu wanamlaumu Mwinyi kutokusanya kodi wakati viwanda vilikuwa vimekufa. Sijui hiyo conclusion ilikuwa based on what source. Import revenue na kufa kwa viwanda ni mbali kama mbingu na nchi
Sasa afadhali Kamanda Mbowe ameonyesha kuwa mjasirimali na amesiamamia projects that are viable
Lipumba ana rekodi ya pekee kwani ndiye Kiongozi peke yake wa chama kikubwa cha upinzani ambaye hachaguliki kwa cheo chochote kuanzia ujumbe wa nyumba 10,10; udiwani; ubunge na hata Urais......nashangaa wanaomsikiliza huyu profesa!
Na lini aligombea cheo cha ujumbe wa nyumba 10/10, udiwani na ubunge? Hizi akili za kilevi bwana, zina taabu kweli kweli.
Maendeleo ukisubiri uletewe utaona dunia chungu mkuu ngoja nikuletee cv ya huyu jamaa ndo uone alivyokaa vizuri kichwani.
dj mbowe vs Prof Lipumba.....cdm bwana wanapenda vibaya!!
DJ vs Prof.:A S 41:
DJ vs Prof.:A S 41: