Nafikiri hawa kundi la HAPANA watahitaji BACKUP ,kama hiyo habari si kweli basi iwe kweli kwani massage itawafika huko Tundulu ni kuzidi kuonyesha mshikamano ila tunduru mbali sana.
...kosa jingine la mzee 6 ni kudhani wana ccm wote hakuna ukawa,asstmption mbaya sana. Hii ni fedheha kubwa sana kwa Hama Rashid,maana kaisaliti ukawa,cuf,wananchi....