Kuna habari zisikuwa hakiki kuwa Mheshimiwa Ibrahimu Lipumba na Mheshimiwa Slaa wakifuatana na njemba zingine za uKAWA kutinga katika viunga vya majengo ya Bunge huko Dodoma kesho mida za asubuhi ,haijulikani haswa wanafuata kitu gani lakini wajuzi wa duru za kisiasa wanasema huenda wanakwenda kuwapa nguvu na misimamo wale wote waliopiga kura ya HAPANA au watatumia uwepo wao kuwapa ulinzi na kuondoka nao ,hizi habari bado sijaziamini kwani mtoa habari ni jamaa wa ccm anaeishi Dar resalama ,kuna mtu kasikia zengwe hili la Ukawa !

hata kwenye mpira wachawi hutembelea metch

Metch ndio mpira wa kumwagilia au,kondom?
Lipumba kesho atakua Tunduru
nimecheka sana !
Mkuu huyu anti mwanzo nilidhani mchicha mwiba,kumbe punga la jumla
hii ni dharula , huwezi kujua mkuu .
Nafikiri hawa kundi la HAPANA watahitaji BACKUP ,kama hiyo habari si kweli basi iwe kweli kwani massage itawafika huko Tundulu ni kuzidi kuonyesha mshikamano ila tunduru mbali sana.
Hawa wazee wahuni wanafikiri wataiwa tena Chamwino kugonga juice